Tusi shikwe na jazba. Mbona tunamuonea huyu mwarabi, kafanya dhambi gani. Kwa kweli hizi ni siasa mbovu, ilimradi tupate sababu ya kuisakama ccm na serekali. mbona hatuwasakami wazungu wanapo pewa maeneo. kwa mfano mbona wale Wa Australia walio ibobea mlima wa kabulo pale kiwira, mpaka kuusababisha ule mradi wa kiwira kuwa hauna faida tena hatuwazungumzii.
Mradi kanyimwa Nssf ambao walikuwa tayari kuuchukuwa na mbia kutoka nje na waka Ahidi kuekeza mradi wa umeme wa 300mw. nssf ilitoa ahadi ya kulipia madeni ya serekali ya USA$30millions. Lakini Mzungu kachukua nusu ya mradi wenye makaa mengi kwa dollar 3 million. hiyo hatuioni na haisemwi. Mwarabu kafanya mengi loliondo anasumbuliwa. Au ni kwa sababu agenda ya kiwira ililetwa bungeni na Zitto kwa hivyo hapa jukwani jambo lake haliungwi mkono. Mbunge wa ileje kwanza alilisimamia jambo hili, nasikia sasa amekuwa mshauri mkubwa wa hao majangili wa kizungu.
Mkuu, Mimi nilikuwa nafanya kazi Airtel kipindi cha Nyuma (Zain), tukapata malalamiko ya kuwa watu wakiwa Loliondo wanachajiwa sh 1000 kwa dakika, tukatuma team yetu kule, kufika unakuwa unafanya roaming na Etsalat,
Watu waka rise issue kwa wakubwa, mpaka sasa hivi kila mtu kimya! nina uhakika kabisa watu wa TCRA hii issue wanaijua ni ya siku nyingi sana, na wananchi wa lile eneo wanalalamika kila siku kuhusu kufanya roaming ndani ya nchi yako
Mkuu Bramo
Hivi ni kweli kuwa simu yoyote ya kiganjani iki-"detect" "the best signal" ina-"auto-trigger" au ina "auto-switch-to-roaming" ? Kwa ufahamu wangu ni kwamba lazima "i-prompt"/pop-up window" ya kukutaka wewe mwenye simu kukubali au kukataa hiyo "service"...!
Mkuu , Baba_Enock , Heshima Kwako
Roaming ni agreement Kati ya Different Operators, e,g Etisalat UEA na Tigo.
Ni kama Handover Flan hivi lakini inakuwa ina involve two different Operators, Hakuna ku Promptiwa na Simu wala nini.
Simu iki detect Best signal, inatuma Request kwenye Core Network Kuwa hapa Kuna Signal Bora zaid ya Hii.
Kama Roaming agreement iko OK, unatupiwa kwenye Foregn Network Automaticaly Mkuu
Nafikiri utakuwa umenipata Vyema
Ila unaweza ku attach kwa Manually option
Vema MkuuMkuu nimekupata...
"Roaming" ni huduma ambayo mteja wa mtandao fulani anatakiwa "ajiunge" nayo in some ways - either kwa activate mwenyewe "as you go/on-demand" au and kupitia kwa "huduma ya wateja" pale anapofanya "activation" ya simu-card (right?)
Kama ulivyosema hapo pia - na nukuu "...Kama Roaming agreement iko OK..." - Hii inamaanisha kuwa in some ways hii issue inaweza kuwa resolve - if need be - na Mobile Operators walioko ndani ya Tanzania bila hata kuhusisha TCRA (right?)
rsamehe tu,kwani wengine humu ni Un-great thinker!
Mkuu, Nakushukuru sana kwa Kunielewa.
Swali, ni Je, Huyo Mwarabu, Frequency alipewa na nani??katoka nzao huko Kwao???
nakushukuru kwa hayo matusi na hayo pia ni maendeleo
Tusi shikwe na jazba. Mbona tunamuonea huyu mwarabi, kafanya dhambi gani. Kwa kweli hizi ni siasa mbovu, ilimradi tupate sababu ya kuisakama ccm na serekali. mbona hatuwasakami wazungu wanapo pewa maeneo. kwa mfano mbona wale Wa Australia walio ibobea mlima wa kabulo pale kiwira, mpaka kuusababisha ule mradi wa kiwira kuwa hauna faida tena hatuwazungumzii.
Mradi kanyimwa Nssf ambao walikuwa tayari kuuchukuwa na mbia kutoka nje na waka Ahidi kuekeza mradi wa umeme wa 300mw. nssf ilitoa ahadi ya kulipia madeni ya serekali ya USA$30millions. Lakini Mzungu kachukua nusu ya mradi wenye makaa mengi kwa dollar 3 million. hiyo hatuioni na haisemwi. Mwarabu kafanya mengi loliondo anasumbuliwa. Au ni kwa sababu agenda ya kiwira ililetwa bungeni na Zitto kwa hivyo hapa jukwani jambo lake haliungwi mkono. Mbunge wa ileje kwanza alilisimamia jambo hili, nasikia sasa amekuwa mshauri mkubwa wa hao majangili wa kizungu.
Kuanzia kwa Waziri wa
maliasili na utalii-Abubakari Mgumia hadi kwa Kagasheki mambo mbofumbofu
na huyu mwarabu ila mwisho umefika.
You are really an experienced concubine of CCM! We are talking National issue here, not partisan.
Pamoja na kwamba umetoka nje ya maada husika lakini naomba nikubaliane na wewe hayo uliosema, sasa haya ulioandika pamoja na hayo alioleta mleta uzi pamoja na mengine mengi bila kujali mwasisi awe Zitto Kabwe, Tundu Lisu, au yeyote, tukubaliane kitu kimoja, nchi imeuzwa tusaidiane kuiokoa, piga chini ccm na pandisha juu CDM, au sio?
Kwani hayo mambo ya nssf lazime uyaseme huku?
Si uanzishe thread yako inayoelezea huo mradi wenu wa nssf??