TCRA: Mkoa wa Rukwa ni Kitovu cha matukio ya uhalifu wa kimtandao nchini

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,100
49,795
Watu wanafanya matukio ya uhalifi wa mtandao Kwa Rukwa hujulikana Kwa jina la "Dii" lakini Cha ajabu Polisi na TCRA wanawajua ila hakuna wanachowafanya.

Ni wazi watu Hawa wanashirikiana na hizo taasisi kufanya uhalifi wa kimtandao kama kuibia watu pesa kwenye simu au banks Kwa njia za mtandao na kufanya Utapeli na huenda wanalindwa na watu wa TCRA na Polisi maana wanakula nao.

Ni upuuzi na inaudhi kutoa takwimu za hivi wakati hakuna jitihada za dhati zinazochukuliwa kukomesha wahalifu.

Viongozi Kila mtu atimize wajibu wake

=============

RUKWA Region is reported to lead in the country for allegedly committing cybercrime through telecom handsets, according to the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA).

The TRCA Manager for Southern Highland Zone Office, Engineer Asijile John said between April and June this year, a total of 8,991of telcom handset’ SIM cards were identified for being associated with multiple criminal acts in Rukwa Region.

The criminal acts committed through the SIM cards was equivalent to 38.7 per cent of all-criminal acts committed in the country via telecom handsets. He mentioned such criminal acts as swindling and theft.

Eng John revealed this while presenting a topic on cybercrime through telecom handsets during Rukwa Regional Consultative Committee (RCC) held recently under the Chairmanship of Regional Commissioner, Mr Charles Makongoro Nyerere.

“In a period of two months between October and November 2022, about 6,767 acts of cybercrime, equivalent to 46 per cent of all cybercrime incidents reported across the country were in Rukwa Region,” he explained.

The RC urged leaders, stakeholders and citizens to help address the high rate of cybercrime committed in the region.

Daily News
 
Hii ndio Mikoa inayoongizaekwa matukio ya uhalifu wa kimtandao

Rukwa
Morogoro
Dar
Mbeya
Tabora

My Take
Cha kusikitisha yaani TCRA wanafurahia kabisa kutoa takwimu ila hawajiehughulishi na kupambana na uhalifu wa mtandaoni.

Mikoa hii Ina uhalifu wa mtandaoni miaka Mingi ila hakuna hatua zinachukuliwa na Wananchi wakiendelea kuumia.

Mathalani Mkoa wa Rukwa wanajukikana Kwa jina la Ma Dii na wanapoishi panajukikana na watu wanawatambua.Inawezekana wanakula na TCRA na Polisi.
Screenshot_20231026-102222_1.jpg
Screenshot_20231026-102243_1.jpg
 
Back
Top Bottom