TANZIA Mwanzilishi wa Radio ya kwanza binafsi nchini, Padre Francois Gautier afariki dunia

Kuanzia lini kanisa Ni Mali binafsi?

Mali binafsi inamilikiwa na sole proprietor.

Kanisa sio sole proprietor, Ni taasisi inaayoongozwa na bodi ya wadhamini.
Labda alirefer kwa Kakobe na Gwajima
 
Redio Tumaini sio redio binafsi, Ni redio ya kanisa.

Kuanzia lini kanisa Ni Mali binafsi?

Mali binafsi inamilikiwa na sole proprietor.

Kanisa sio sole proprietor, Ni taasisi inaayoongozwa na bodi ya wadhamini.
Mkuu,Means Sio redio ya serikali.RAdio tumaini ni ya Wakatoliki so ni Private
 
Redio Tumaini sio redio binafsi, Ni redio ya kanisa.

Kuanzia lini kanisa Ni Mali binafsi?

Mali binafsi inamilikiwa na sole proprietor.

Kanisa sio sole proprietor, Ni taasisi inaayoongozwa na bodi ya wadhamini.
Lingine la kumsaidia mleta habari, radio ya kwanza isiyomilikiwa na serikali kuanzishwa ni Radio Sauti ya Injili Moshi. Nilianza kuisikia miaka ya 1980s nilipoanza kuwa na akili
 
Kama redio ya kanisa ni sawa na redio binafsi,basi hiyo siyo redio ya kwanza maana kuna redio habari maalum ilikuwa Arusha ikitumia masafa (Short waves)
Mwanzilishi wa Radio ya kwanza binafsi nchini Tanzania (Radio Tumaini), Padre Francois Gautier amefariki dunia.

Aliwahi kuwa paroko wa parokia ya Manzese.

Will miss you father R.I.P

Kuanzia lini kanisa Ni Mali binafsi?

Kanisa sio Mali ya umma

1621427461980.png
 
Back
Top Bottom