Jibaba277
Member
- Feb 27, 2016
- 20
- 8
serious?? Eti lengo ni kuwatisha mahakimu. Hiv aliyekuambia hakimu anatishwa na wingi wa watu nani? Acha kukurupukaKwenye mikutano waliyofanya ya Baraza kuu aliwataka watu kwenda kwa wingi (kimaandamano!!!!!???) kesi zao za ubunge zinaposikilizwa.Nafikiri lengo ni kuwatisha mahakimu wakiona ma-umati watishike na pia ni njia ya kuanzisha maandamano ya vurugu wakati wa kwenda mahakamani au wakati wa kutoka mahakamani au wakiwa eneo la mahakama.