Haya bana...ila unaforce kujifanya unajua...kiwanda cha nyakato kisha sasa nyamhongolo ni matunda ya hustle za awali kabisa...wewe unaona matunda ila hujui nyuma yake kuna msoto wa trials na errors kibao...sasa ichukue hiyo ya club (feat jamaa flani jina kapuni) pia kuna hustle ya duka hapo salma cone na umachinga mwingine kibaoWewe ndio mgeni wa mji,joe alianza n kiwanda cha vitu vya plastic..kaka yke alifungua bar hapo jirani na bonasera..
Unatania ama uko seriasi? Hicho kipara kilikuwa na rastaNa wala hajawahi kuwa na rasta
Wewe ndio humjui joe unakija na uwongo kua alimiliki club mwanza hotel,mara alikua na rasta...tunamjua joe toka kwao sengerema yeye na kaka yake,wewe unamjua joe rastaHaya bana...ila unaforce kujifanya unajua...kiwanda cha nyakato kisha sasa nyamhongolo ni matunda ya hustle za awali kabisa...wewe unaona matunda ila hujui nyuma yake kuna msoto wa trials na errors kibao...sasa ichukue hiyo ya club (feat jamaa flani jina kapuni) pia kuna hustle ya duka hapo salma cone na umachinga mwingine kibao
Ila wee jamaa nimekuacha...una ka ushamba flani ka kuforce kushinda ligiPesa ilikata kitambo mpka club ikafa,jamaa hamjui joe anatuletea story za joe alikua na rasta[emoji16]
Haya mzee...isiwe kesi yote usemayo ni kweli. You happy now?Wewe ndio humjui joe unakija na uwongo kua alimiliki club mwanza hotel,mara alikua na rasta...tunamjua joe toka kwao sengerema yeye na kaka yake,wewe unamjua joe rasta
Joe anarasta?ilikua mwaka ganiIla wee jamaa nimekuacha...una ka ushamba flani ka kuforce kushinda ligi
Mwanza huijui 2008 kulikua na stone club ikimilikiwa na jack masamaki,ikafa 2011 ikafunguliwa club ingine ikimilikiwa na watu watatu
Ningeweza upload picha hapa akiwa na rasi...tokea akiwa saitama japan, ila inaweza reveal identity yangu kwa aliye familiar na nyakati hizo. So kaa humohumo hakuwa na rasta, hajawahi kuwa na club ila kaka yake tu (Jimmy) club ya rock n roll na nini tena? Kiwanda cha plastiki tu au sio?Joe anarasta?ilikua mwaka gani
Achana na huyo jamaa atakuwa anawekwa mjini na Joe. Halafu hamfahamu vizuri.Haya mzee...isiwe kesi yote usemayo ni kweli. You happy now?
Ningeweza upload picha hapa akiwa na rasi...tokea akiwa saitama japan, ila inaweza reveal identity yangu kwa aliye familiar na nyakati hizo. So kaa humohumo hakuwa na rasta, hajawahi kuwa na club ila kaka yake tu (Jimmy) club ya rock n roll na nini tena? Kiwanda cha plastiki tu au sio?
Chawa wapyaπππ―Achana na huyo mshamba hamfahamu vizuri atakuwa ndio hawa machawa wa kipindi hiki.
Joe namfahamu kabisa akiwa na rasta zake hapo mwanza
KASUMBALESA zambia napambana na USAID Mwanza December karibu Lamadi...nasikia Villa park inarudi tule yale masamaki makubwa ya kuchoma na bhusiga...Nipo sana ndugu⦠We wapi?
Wanatoa ajira, so pesa zinaishia kulipa mishaharaHivi Tz tunahuduma ya fire kweli!? Moto unawaka karibu saa nzima tena katikati ya mji wa Mwanza (Rock City Mall), hakuna fire Wala Nini, na kila budget ikipitishwa naskia kunabudget ya jeshi la Zima moto
View attachment 1985927
roho imeuma sana, nilikuwa na kahuduma flani hapo kanaitwa ka marry ππππ.. hiki kiwanja ndio kilifanya niwe mwanza mwanza kila weekend ππDaaah kiwanja kitamu hiki[emoji854][emoji854]
Kuna lile pishi la samaki wanaita brenda fasi kama sijakosea..nilikuwa nalipenda sanaKASUMBALESA zambia napambana na USAID Mwanza December karibu Lamadi...nasikia Villa park inarudi tule yale masamaki makubwa ya kuchoma na bhusiga...
π€£π€£π€£π€£Kuna lile pishi la samaki wanaita brenda fasi kama sijakosea..nilikuwa nalipenda sana
Huu ndo muda wa kukapa manoti kasije kakahamia hapa Diamond wakora wengi sana hapa hahaha Mkuuroho imeuma sana, nilikuwa na kahuduma flani hapo kanaitwa ka marry ππππ.. hiki kiwanja ndio kilifanya niwe mwanza mwanza kila weekend ππ
sanaaa,mule VIP nilikutana na pisi inafanana na hiyo kwenye avatar yako,sijui ulikuwa ni weweDaaah kiwanja kitamu hiki[emoji854][emoji854]