Mwanza: Soko la Mlango mmoja lateketea kwa moto

Mwanza: Soko la Mlango mmoja lateketea kwa moto

Duh, uunguliwe ka kibanda kanakoleta ugali mezani tena ka mkopo kipindi cha Magufuli utalia mpaka machozi ya kukopa!!!
 
MOTO na MAJI vikiamua angamizaaa ndani ya dakika chacheee wote chaliii....... MAJI ni Uhaiii
Maji yatumika zima moto lakini MOTO Hauwezi tuliza MAJI
Umenikumbusha ule ushairi wa maji na moto walivyokuwa wanajigamba
Alafu nikajaribu kucompare hizo cases mbili za maji kuzamisha meli juzi na hii ya leo.
Inaonyesha maji yuko juu
 
Yaani nimeangalia huo moto, nimewahurumia sana. hili soko ni kama vile huko Dar pale wanapoita MCHIKICHINI - KARUME
Lakini Karume - Mchikichini lina mlango mmoja? Au hio mlango mmoja ni jina tu?
 
Ila nimeshangaa yaani jeshi letu la Zimamoto wanaishiwa maji wanarudia tena mengine moto unakolea. Ingependeza wangekuwa angalau magari mawili kiasi kwamba moja likishiwa maji lingine liendelee kuzima
Kwani hata yangekuwepo 10 yasingeishiwa maji? hivi unajua capacity yake ya kubeba maji na kwa dakika yanamwaka lita ngapi kutokana na pressure? au watanzania tumezoe kulaumu tuu bila kutafakari? kwanini hujazungumzia muundo mbinu hafifu ambao uanafanya amagari hayo yanashindwa kufika eneo husika?Kumbuka moto ni mkubwa, na magari yale hayapoconnected kwenye bomba kusema maji hayataisha.
 
KIla likitokea janga tunaishia kulalamika na kuilaumu serikali. Hakuna haja ya kuilaumu serikali kwa sababu tumeitaka wenyewe.
Poleni sana mlofikwa na asara hii.
 
Tatizo hatujifunzi kutokana na makosa

Kurudia rudia kwa ajali hizi imekuwa kawaida kwani hili sio soko la kwanza
 
Tatizo hatujifunzi kutokana na makosa

Kurudia rudia kwa ajali hizi imekuwa kawaida kwani hili sio soko la kwanza
Mjinga ni yule mwenye shauku ya kujifunza kwa sababu hajui ...
Mpumbavu ni yule anayejua lipi la kufanya lakini hafanyi ...
Tuko upande upi?
 
Huko ni makoroboi, mlango mmoja liko barabara ya kuelekea nyakato
Unapajua na Makoroboi? we wa noma!
Na vitunguu je ni wapi huko?

OK; Mlango mmoja nimepajua ... pale tunapopita kuelekea malikusema .. kule wanapoandaa supu ya kuku wa kienyeji? Tamu hiyo!

Poleni wa Mwanza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom