swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,630
Wewe ndo Huyo Jamaa mwenye kilascet mgongoni??
Kumbe uko mwanza, na mimi nimepita hapo asubuhi nikaona hilo janga baya likiteketeza mali za watu. Inauma sana maana litakuwa limewaumiza kiuchumi pia.Yaani mie mwenyewe nimepita panatisha. Wamefunga barabara ya kukatisha hapo.
mfate DM mtoto uyo wote c mko mwanza,,Kumbe uko mwanza, na mimi nimepita hapo asubuhi nikaona hilo janga baya likiteketeza mali za watu. Inauma sana maana litakuwa limewaumiza kiuchumi pia.
Sasa kwani lazima tutoe pole wote mkuu? Wewe unatosha.. Mkuu Atajenga soko kubwa LA kimataifa hapo..ni home hapo...Ha ha Ukishafahamu hivyo itasaidia nini mkuu? Tuwape pole kuhusiana na janga hili la moto!
Hatari sana uzuri yanapotokea majanga kama haya tunapata kujua mapungufu makubwa tulio nayo katika suala zima la uokoziIla nimeshangaa yaani jeshi letu la Zimamoto wanaishiwa maji wanarudia tena mengine moto unakolea. Ingependeza wangekuwa angalau magari mawili kiasi kwamba moja likishiwa maji lingine liendelee kuzima
La katikati ni makoroboiLile soko lenye msongamano mkubwa kabisa hapo katikati ya jiji!?
Yes ni Mwanza mjiniBila shaka itakua ni mwanza mjini
Acha fikra potofu Mwanza wanaishi watanzania wa makabila yoteIle laana ya kikabila na upendeleo naona inafanya kazi taratibu
Ngoja tusubiri hayo maelezo.Hakijafahamika, lakini mkuu wa mkoa Mongella, ameaahidi kutolea maelezo