Mwanza: Soko la Mlango mmoja lateketea kwa moto

Mwanza: Soko la Mlango mmoja lateketea kwa moto

Haya yako planned ili kila mara tuendelee kuwaona wanaotuongoza wanafanya kazi kumbe hakuna kitu kinachofanyika. Tujiulize ...
Ushuru unaotozwa kila siku / mwezi / mwaka fedha zinafanya nini?
Na kweli
Naona wanagawana wanapokusanya bila kujali nini kitatokea

Dhulma mbaya sana
 
Jiwe lazima adate
Mv nyerere
Soko tena na ni mji mmoja.
 
Soko la Mlango mmoja jijini Mwanza linateketea kwa moto muda huu na jitihada za kuudhibiti zinaendelea chini ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella, amethibitisha kutokea kwa moto huo huku akisema bado chanzo cha moto hakijafahamika lakini hapo baadaye atatolea maelezo.

Poleni sana waanga wote wa tukio hilo. Kikubwa tunamuoba MUNGU wetu pasiwepo majerui au vifo. Mali wanaweza kubangaiza upya.
Ila jamani napo palizidi sana kwa pombe aina ya KANGARA dahhhh
 
Na kweli
Naona wanagawana wanapokusanya bila kujali nini kitatokea

Dhulma mbaya sana
Wameishawaona watanzania malofa.. mwakani wanaanza kugawa tishet na kofia .. watanzania wanasaau tena wanapa ridhaa ya kushika atamu za uongozi.
 
Poleni sana Sokoro, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu mnachopitia. Utakuta kuna mtu kapoteza mpendwa wake kwenye ajali ya MV NYERERE na leo tena kapoteza mali yake hapo sokoni!

Asante best, maisha ya mwanadamu anayajua MOLA tu maana wahanga wa huu moto wamelia sana kwa jinsi moto ulivyounguza mali zao.
 
Jana tu nimetoka kununua nguo hapo. Daah
Soko la Mlango mmoja jijini Mwanza linateketea kwa moto muda huu na jitihada za kuudhibiti zinaendelea chini ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella, amethibitisha kutokea kwa moto huo huku akisema bado chanzo cha moto hakijafahamika lakini hapo baadaye atatolea maelezo.

Similar Discussions

Back
Top Bottom