CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Ndiyo kusema kijana ufike Mwz, then usiwasiliane na sie vigogo wa Mwz ?
Unaogopa nini ? Ama umekuja kumalizia kuuza mzigo wa zile Arv fake ?
N'shakutilia shaka ujue ?
Kweli? Karibu ujue kilichomtoa Erickb52 manyoya.....for further info wasiliana na charminglady
Huko Mwanza kunani? maana wanaoenda huko sifa zao kama zinafanana hivi!!!
Hiyo ndiyo rock city jiji la maraha.
Ila wakuu muwe na rahadhari.
mkuu Bishanga usemayo mwanza ni balaa mie nilikuwa huko ths past week i enjoyed 2th maximum
maskini mke wangu sijui km atasalimika maana wageni wa mwanza wamezidi baada ya kujua nimeondoka, ilikuwa Erickb52 mara tena leo Bishanga... ivi charminglady ntampata salama kweli
itakua ni zaidi ya tangaHuko Mwanza kunani? maana wanaoenda huko sifa zao kama zinafanana hivi!!!
jilie raha wakati ni wako bebari weyeniko mwanza,jamani maraha yananiua,msosi wa nguvu kirunba resort,live music villa,mwanza hotel live band wanawake wa ukweli.......yaani mwanza shuruti nirudi!
itakua ni zaidi ya tanga
Hahahahahahahahahahaha
mwanza,mwanza
huyo samaki naomba usimpatie Bishanga maana ata uwa mtu!
hana huo uwezo nilijua ataenda mwanza nikamwambia kongosho afanye mambo saa hivi .ana p.o.p imeisha makali halafu sio renewable
itakua ni zaidi ya tanga
my friend, upo?
Elizabeth Dominic kilichonitoa Mwanza ndio kitakachonirudisha tena kabla Bishanga hajaondoka. Salamu zangu kwa charminglady
Anaitwa Ningu! Huko hawezi mea due vary geographical factors !
Pole weee!
duh, nahic umekimbia majibu angaza. btw karibu ila uwe na helmet. make tulichomfanya Erickb52 ni cha mtoto njoo kichwa kichwa tu.
Wapi Elizabeth Dominic, kuna kitu kimevamia jiji na hajitatiw.a adabu. . .
Duu! Ningu huyo samaki ana miba balala, na samaki flani wanaitwa Nembe na Gogogo bado wapo?
Huko Mwanza kunani? maana wanaoenda huko sifa zao kama zinafanana hivi!!!
Nitajimuvuzisha huko wakati wa likizo ndefu nami nienjoy maeneo yote ya Nyakato, Ilemela, Nyamagana, kule Nyegezi, na kule mbali kabisa kule Igomadaddy, pole. make siku ile umekuja kuwaona wazee wenzio (wazazi wa @C6) ulikuwa na haraka. hebu panga uje na mummy wakati mwaja kumlea mjukuu wenu ili muenjoy maraha ya the rock city!