Mtu mdogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 525
- 824
Mkuu kwamba chadema imejaa ukanda hiyo ni nadharia kwasababu wanachama wengi ni upande ule ni sawa useme cuf ni Chama cha waislamu ilihali kuna wakrsto je ulishasikia hata sikumoja chadema wakisema jamani watu wa kilimanjaro hiki ni chama chenu msipigie vyama vingine au kwenye chadema hakina wafuasi mikoa mingine watajisikiaje wakisikia kauli kama hiyo au cuf iseme waislamu cuf ndo mkombozi wenu wale wakristo waliopo cuf watajisikiaje ?Akili yako siwez kuifanya ielewe chenye nimesema.ukimsema Mabula hukumbuki chama alichokua anapambana nacho kimejaa ukanda ndo sababu kubwa na si ubaguzi wa msukuma,
?yamkini umekutana na udhaifu wa mtu mmoja mmoja uliyo kwa watu.uliza vzr wasukuma wakoje toka enzi na enzi.ukiwa hupendi au unajisikia vibaya basi we pita hivi