Mwanza: Mume anyofoa sehemu za siri za mke wake kwa kisu na kuzipika

Sio huyu jamaa kweli maana aliweka uzi kabisa mkisikia hii habari mjue kuwa ni yeye.

 
Sio huyu jamaa kweli maana aliweka uzi kabisa mkisikia hii habari mjue kuwa ni yeye.

😂😂😂😂
 
Hadithi hii ya kubuni umeikosea kidogo ili ionekane ina ukweli ndini yake, ungeandika hivi; Bwana David kabla ya kumfanyia huo unyama mkewe, alimlisha madawa ya kulevya.

Hapo kidogo na kwa mbali kaukweli kanaonekana.🤣

Kauongo kengine ni pale unaposema; Bwana David alikuwa anarosti "vile vitoweo viwili", hapo ungesema hivi; baada ya kukata vile "vitoweo viwili" aliwatupia mbwa ili kuficha ushahidi.
shangaa na wew Mkuu
 
Back
Top Bottom