Nakuru: Mke amchoma kisu na kumuua mume wake aliyekuwa akimzuia kuondoka

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,547
Polisi Mji wa Nakuru wanamshikilia mwanamke wa miaka 21 kwa tuhuma za kumpiga na kumuua mumewe katika Gorofa Estate.

Bi Rehema Rita Wanjiru anadaiwa kumchoma kisu kwenye kifua Bw. Kevin Kuria mwenye miaka 23 wakati akiwa anajaribu kumzuia atoke nyumbani kwao asubuhi.

aidha, Taarifa zinaeleza kuwa Bi Wanjiru alikuwa anabeba vitu vyake kwa lengo la kutaka kuondoka kufuatia mapigano ya mara kwa mara ya na mumewe hapo nyumbani kwao.

Aidha Mjumbe wa nyumba kumi alisema " Bi Wanjiru alikuwa amebeba koti lake tayari kwa kuondoka lakini mwanaume huyo hakumruhusu aondoke. ndipo ambapo ugomvi ukaibuka"

Aliongeza kuwa, Wakati alipopigiwa simu ili kuja kuamua ugomvi huo alipofika, alimkuta mtu huyo amelala chini huku damu zikitiririka kutoka katika kifua chake.

Sambamba na hilo, Mjumbe mwingine wa nyumba kumi Bw. Peter Ng'anganyika alisema alisema alimkuta mwanamke huyo akijutia kufanya tukio hilo huku akiwa amkekaa karibu na mwili wa mume wake. huku akiendelea kupiga simu kwa majirani wamsaidie mumewe apelekwe hospitali. alifafanua Bwana Ng'ang'a.

Majirani walisema wanandoa hao mara nyingi walikuwa wanapigana mara kwa mara na kila wakati mwanamke huyo alikuwa akitishia kumuua mumewe.

Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Nakuru, Stephen Matu alisema mwili wa mwanaume huyo umebebwa na kwenda mochwari ya hospitali ya Nakuru wakati mtuhumiwa huyo akifikishwa katika kituo cha polisi.

1576206646261.png


======
Police in Nakuru have arrested a 21-year-old woman for allegedly stabbing and killing her husband at Gorofa Estate.

Ms Mercy Rita Wanjiru allegedly stabbed 23-year-old Kevin Kuria on the chest as he tried block her from leaving their house at 9.30 am.

According to the area ‘Nyumba Kumi’ elders, Ms Wanjiru had packed her belongings and wanted to leave following frequent domestic fights.

“She had her suitcase already packed but the man would not allow her to leave. An argument ensued before a fight broke out,” said Nyumba Kumi Chairperson Daniel Thiong’o.

“When I was called to intervene, I found the man lying helpless on the floor with blood was oozing from his chest,” Mr Thiong’o said.

Another Nyumba Kumi elder Peter Ng’ang’a said he found the suspect, who looked remorseful, sitting on a chair next to her husband’s body.

“She kept making phone calls to neighbours and friends to help her take her husband to hospital,” Mr Ng'ang'a said.

Mr Ng’ang’a said at one point, the woman was heard saying that was defending herself after he tried to stab her.

Neighbours said the couple often fought. They said each time the couple had a fight, the woman threatened to eliminate her husband.

“They would fight almost daily. During the fights, the woman would threaten to kill her husband,” said Ms Jane Kangogo, a neighbour.

Ms Rosaline Keino added that the suspect, who is said to be a business woman, would sometimes be heard accusing her husband of not providing for the family.

Nakuru County Police Commander Stephen Matu said the man’s body of was moved to Nakuru Level Five hospital mortuary, while the suspect is being held at Nakuru Central Police Station.

“Investigations are ongoing, the suspect will be taken to court on Friday,” he said.

Source: Daily Nation
 
Majuto Ni mjukuu......

Wahenga walikuwa hawakoseagi ..
 
Tatizo mwanamke bado ni binti, kwahiyo kama akili hazipo anajiona yeye yupo juu na anaweza kuolewa kwingine. Ujana unamsumbua., sasa ataenda segelea.
 
Back
Top Bottom