WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
CCM mumebakiza DODOMA na Morogoro tu.
Sio kweli Mkuu!kuna Geita,Mara,Mbeya,na mengine tu mkuu pamoja na kwamba baadhi yamedokolewa na CHADEMA!!!!!!!!!!!!!
CCM mumebakiza DODOMA na Morogoro tu.
Sio kweli Mkuu!kuna Geita,Mara,Mbeya,na mengine tu mkuu pamoja na kwamba baadhi yamedokolewa na CHADEMA!!!!!!!!!!!!!
hivi vidole viwili maana yake ni nini?hivi hawa walikuwa ni wananchi wa kawaida au wanachama wa chama fulani walioamua kushabikia chame chengine?[/QUOTE
Mkuu Betlehem.Vidole viwili maana yake ni ishara inayotumiwa na CHADEMA kama kiwakilishi chake,lakini pili,hao waliojipanga jana barabarani wanaaminika kwamba ni wananchama wa CHADEMA.
Sio kweli Mkuu!kuna Geita,Mara,Mbeya,na mengine tu mkuu pamoja na kwamba baadhi yamedokolewa na CHADEMA!!!!!!!!!!!!!
tehe! tehe! tehe! nafurahi kwamba sasa tumeelewana.Kama wewe lazima Ureseat
Kwanini wasizomewe? Chama ambaco badala ya kujibu hoja za msingi, wanadeal na kueneza propaganda za kipuuzi!
hivi vidole viwili maana yake ni nini?hivi hawa walikuwa ni wananchi wa kawaida au wanachama wa chama fulani walioamua kushabikia chame chengine?
Kwa miji mikubwa. Na labda Tanga kidogo.
Kilichowatokea jana sidhani kama watarudi tena Mwanza.
Mkuu you are Not Serious yaani Mara na Mbeya?
Mkuu chama naomba Link ya hiyo habari.Hapa hatuhitaji porojo.
BTW,nasikia Nakala za gazeti la Mwananchi kote nchini zimeisha leo mapema asubuhi hii.Ndiyo magazeti yajifunze unapotoa habari ya kweli gazeti linajiuza lenyewe
ni vyema zaidi ukasema ccm wakawa wanazomewa na chadema.kwa sababu ukisema ccm wakawa wanazomewa na wananchi walionyoosha vidole viwili kana unakuwa unataka kuleta hila tu kana kwamba unaowapa taarifa wako katika enzi za ujima.Kwani betlehem, wanachama wa chama fulani sio wananchi wa kawaida?
Makamu Mkiti wa CCM Philip Mangula alionja joto ya jiwe mkoani Mwanza pale msafara wake ulipozomewa vibaya njia nzima tokea alipotoka uwanja wa nyamagana kwenye mkutano wa hadhara.
Aibu hiyo ya zomeazomea iliwakumba pia Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe na Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye.
Wananchi walijipanga njia nzima msafara huo ulipopita huku wakionyesha ishara ya vidole viwili na zomeazomea ikishika kasi.
Awali Mangula alihutubia kwa dakika 5 tu kitu kilichowashangaza wengi na swala la msingi alilosema ni kwamba CCM imeleta maendeleo katika kipindi cha miaka 50 kwani zamani Mwanza ilikuwa na ghorofa moja tu la Bugando lakini sasa kuna 'Mabugando' mengi.
Source:Mwananchi Jumatatu.
Mkuu ninachofahamu mimi ni kwamba katika majiji yote ulivyosema isipokuwa Tanga,CHADEMA wanakubalika,na hii sababu yake ni ndogo tu,kwamba kwenye miji hiyo kuna watu wa kila aina,(MCHANGANYIKO) ambao ni vigumu kuwacontrol!!!!!,lakini nayo wanaishia kuchukuwa makao makuu ya miji,kwa mfano Arusha Mjini,maeneo yaliyobaki ukiacha Arumeru na huko Rombo,Mwanza(JIJI) wilaya zilizobaki isipokuwa ukerewe,Mbeya Mjini,maeneo yaliyobaki hakuna,Tanga kama ulivyosema hakuna kabisa,Miji mingine mikubwa iliyobaki hakuna.