Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
- sihitaji mtu wa kunishawishi niwaamini.
Hizi zomea zomea hatuoni picha wala sauti za kuzomea
We endelea kusubiri video au picha hapa hapa zitakuja tu muda si mrefu lakini ukweli ndio huo kwamba magamba yalizomewa vibaya sana pamoja na kusomba wananchi kutoka mikoa ya jirani geita na simiyu kuwaongezea mahudhurio.
Ni maajabu lakini ndio ukweli wenyewe kwamba ccm imeshajiposition katika nafasi ya kuwa chama cha upinzani kwakuwa siasa wanazofanya sasa ni pure opposition party politics wakati wao wako madarakani. Badala ya kutumia muda wao kutekeleza ilani yao (ingawa haitekelezeki) wamejikita kuitangaza Chadema kila mkutano. Na sisi tunasema mwendo mdundo ccm endelea kutupatia free ride katika vyombo vya habari. Hadi tunafika 2015 ccm itakuwa imekata kauli inasubiri tu isareli ajinyakulie kilicho chake.