Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
CCM ni chama cha kueneza uwongo....hatudanganyiki endelee:rofl:kuleta jokes ati wameleta maandeleo sijui yepi hayo tunazaidi ya miaka 52 ya uhuru lakini bado zaidi ya 50% wanaishi chini ya dola moja kwa siku. Tembo wanazidi kuisha mbugani. Rushwa na kukosekana kwa good governance kunaongezeka kila siku, hatuna madawa mahospitalini na hata maji ya kunywa amabyo ni haki ya kimsingi kwa mtanzania ni hadithi
CCM should go now, its enough
CCM should go now, its enough