Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,358
hata mrema agustino alisukumwa kwenye gari lakini hakupata urais
Hata wengine hawajijui wanatumiwa kama kopo la chooni linavyotumika
hata mrema agustino alisukumwa kwenye gari lakini hakupata urais
Barabara kubwa Mwanza ni Nyerere, Makongoro, Uhuru, Kenyata, Rufiji, kwisha hizo zingine ni tumitaa tu. Mtu yoyete kama ana harusi au msiba anazifunga tu.
Mipango sio matumizi..
hata mrema agustino alisukumwa kwenye gari lakini hakupata urais
Hahahaa amechekesha, wakati wenzake wapo eneo la tukio yeye anaasume.
Maandamano ya M4C jijini Mwanza jana jioni yalisimamisha shughuli za waendesha magari kwa muda wa nusu saa baada ya mkutano wa ukweli uliofanyika viwanja vya Capri Point. Wafuasi wa CHADEMA walimzuia kamanda Mawazo kupanda gari kuamua kumsindikiza kwa maandamano mpaka hoteli alofikia maeneoa ya Uhuru.
Bara bara za station tokea Capri, barabara ya Nyerere na barabara ya Uhuru zilijaa watu wengi wakipiga kelele kumsindikiza kamanda Mawazo.
Kamanda Mawazo leo anawasha moto wa mabadiliko Bukoba. Mwendo mdundo, hatulali mpaka kieleweke
Maguzu
Huwa nafurahishwa sana na utendaji kazi huyu Kamanda Mawazo, nimejaribu kuitafuta picha yake bila mafanikio,
Please kama kuna yeyote mwenye picha ya huyu Kamanda Mawazo aieweke hapa ili nipate kuiridhisha nafsi yangu.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Chadema na watu wake.

Huyo uliye mjibu si ni moja ni mkwapua simu achana nae bado na stress.ilikuwa zamani watanzania wakidumisha fikra za mwenyekiti..utatusoma ivo ivo mpaka 2natwaa Gogoni Dar
hata mrema agustino alisukumwa kwenye gari lakini hakupata urais
Wadanganye ambao hawaijui Mwanza huwezi kufunga barabara zote hizo kwa nusu saa.
Kutoka Capri Point mpaka uhuru ni mbali hapa katikati lazima upite barabara ya Kenyata, Karuta, Lumumba, Nyerere, Liberty, ndiyo ufike Uhuru, sijui zilifungwa vipi hizo barabara.
hata mrema agustino alisukumwa kwenye gari lakini hakupata urais