Mwanza: Maandamano ya M4C yafunga barabara kuu

Mwanza: Maandamano ya M4C yafunga barabara kuu

Tunaanza na Mungu na tutamaliza na Mungu
 
Waliompa kuongoza mapambano kanda ya ziwa hawa kukosea jamaa anapiga kazi...

Mkuu Crashwise eti Kisanduku ndiyo alikuwa anamlalamikia Kamanda Mawazo kwanini Dr Slaa amemteua kuongoza mapambano kanda ya ziwa.
 
Last edited by a moderator:
Waliompa kuongoza mapambano kanda ya ziwa hawa kukosea jamaa anapiga kazi...

Mkuu hatuna mashaka na "Pentagon" chini ya Kamanda wa Anga Mh. Freeman Mbowe; uratibu makini wa Katibu na Mtendaji Mkuu, Dr. W. P. Slaa. Mastrategisti kibao waliosheheni pale Makao Makuu; akina Prof. Abdallah Safari, Prof. Kulikoyela Kahigi, Prof. Mwesiga Baregu, Dr. Kitila Mkumbo, Mh. J. J. Mnyika, Mh. Tundu Lissu, kutaja wachache.

Mabingwa wa kupangua propaganda chafu akina Vincent Kiboko Nyerere na Director wa Mafunzo na Oganaizesheni - Benson Kigaila mabingwa wa maji taka ya magamba. Na uzuri wanatuibulia vipaji kila siku akina Kamanda Mawazo, Lema, Bananga, n.k. kuendeleza mapambano pale wao watakapoamua kupumzika. Hii Kamandi inatisha Kaka.
 
Picha ya Mawazo iko hapa www.chademablog.blogspot.com/

Angalia picha zilizo kushoto kwako utamuona Ok?

Huwa nafurahishwa sana na utendaji kazi huyu Kamanda Mawazo, nimejaribu kuitafuta picha yake bila mafanikio,

Please kama kuna yeyote mwenye picha ya huyu Kamanda Mawazo aieweke hapa ili nipate kuiridhisha nafsi yangu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Chadema na watu wake.
 
kwa taarifa hizi kuna watu matumbo joto! watajiju! na hata safari za nje ni kupunguza msongo wa mawazo.....
 
Mungu yupo upande wa CDM we waache masalia watakumbuka huku kama wakiondoka
 
Kamanda Mawazo ndio nani?

Utamjua tu, maumivu ya kichwa huanza taratibu!!!
Huyu jamaa ni product ya Kamanda Lema, alikuwa diwani wa magamba Sombetin Arusha, Kamanda Lema akamvua gama sasa anawafinya magamba mbaya kabisa!!
Viva Kamanda Mawazo
 
alphonce mawazo.pic.JPG

cdm 4reva
 
Maandamano ya M4C jijini Mwanza jana jioni yalisimamisha shughuli za waendesha magari kwa muda wa nusu saa baada ya mkutano wa ukweli uliofanyika viwanja vya Capri Point. Wafuasi wa CHADEMA walimzuia kamanda Mawazo kupanda gari kuamua kumsindikiza kwa maandamano mpaka hoteli alofikia maeneoa ya Uhuru.

Bara bara za station tokea Capri, barabara ya Nyerere na barabara ya Uhuru zilijaa watu wengi wakipiga kelele kumsindikiza kamanda Mawazo.

Kamanda Mawazo leo anawasha moto wa mabadiliko Bukoba. Mwendo mdundo, hatulali mpaka kieleweke

Maguzu

Mimi nashangaa sana, tunasifia kusimamisha shughuli kwa chama fulani na kulaani the same kwa chama kingine

Lets be fair
 
Maandamano ya M4C jijini Mwanza jana jioni yalisimamisha shughuli za waendesha magari kwa muda wa nusu saa baada ya mkutano wa ukweli uliofanyika viwanja vya Capri Point. Wafuasi wa CHADEMA walimzuia kamanda Mawazo kupanda gari kuamua kumsindikiza kwa maandamano mpaka hoteli alofikia maeneoa ya Uhuru.

Bara bara za station tokea Capri, barabara ya Nyerere na barabara ya Uhuru zilijaa watu wengi wakipiga kelele kumsindikiza kamanda Mawazo.

Kamanda Mawazo leo anawasha moto wa mabadiliko Bukoba. Mwendo mdundo, hatulali mpaka kieleweke

Maguzu

kusimamisha shughuli za kiuchumi ukisifia,, popompo
 
Kwa walioko mwanza wanielekeze sehemu ambapo naweza patackazi yoyote ile isiyozingatia elimu
 
Back
Top Bottom