Wweed
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 255
- 42
THANX TO ALLAH, hakukuwa na vitu vyenye ncha kali!
POLICCM hawakutumwa.vinginevyo ungeskia issue za ''Kitu kizito vchenye ncha kali kimerushwa toka mbali na wananchi''
THANX TO ALLAH, hakukuwa na vitu vyenye ncha kali!
Tunaitaji hii movement 4 Changel ifike maeneo ya keko machungwa kitongoji kipo D'salaam lakini wajinga wengi sana. Wamezoea kuishi maisha ya wazazi wao. [baba elimu yake ndogo unataka uwe hivyo] Vivi chadema karibuni sana keko machungwa.
Maandamano ya M4C jijini Mwanza jana jioni yalisimamisha shughuli za waendesha magari kwa muda wa nusu saa baada ya mkutano wa ukweli uliofanyika viwanja vya Capri Point. Wafuasi wa CHADEMA walimzuia kamanda Mawazo kupanda gari kuamua kumsindikiza kwa maandamano mpaka hoteli alofikia maeneoa ya Uhuru.
Bara bara za station tokea Capri, barabara ya Nyerere na barabara ya Uhuru zilijaa watu wengi wakipiga kelele kumsindikiza kamanda Mawazo.
Kamanda Mawazo leo anawasha moto wa mabadiliko Bukoba. Mwendo mdundo, hatulali mpaka kieleweke
Maguzu
hata mrema agustino alisukumwa kwenye gari lakini hakupata urais
Nimezaliwa hapa mkuu.
Aombe tu, huwezi kumfungia mlango mtoto wako kwa kosa mojaAna mpango wa kuomba msamaha lakini,usijemkatisha tamaa kwa maneno makali kama haya kamanda
hata mrema agustino alisukumwa kwenye gari lakini hakupata urais
kwa mwendo huu magamba 2015 watafika salama lakini??
Kwa maana kila kona ya nchi ni mikiki mikiki..!
Maandamano ya M4C jijini Mwanza jana jioni yalisimamisha shughuli za waendesha magari kwa muda wa nusu saa baada ya mkutano wa ukweli uliofanyika viwanja vya Capri Point. Wafuasi wa CHADEMA walimzuia kamanda Mawazo kupanda gari kuamua kumsindikiza kwa maandamano mpaka hoteli alofikia maeneoa ya Uhuru.
Bara bara za station tokea Capri, barabara ya Nyerere na barabara ya Uhuru zilijaa watu wengi wakipiga kelele kumsindikiza kamanda Mawazo.
Kamanda Mawazo leo anawasha moto wa mabadiliko Bukoba. Mwendo mdundo, hatulali mpaka kieleweke
Maguzu
Wow!! akaribie bk..afike karagwe pia.
View attachment 80831
Kamanda Mawazo, Lema na Ole Millya..Mawazo ni alievaa kombat nyuma ya lema..Wakiwa kwenye uwanja wa NMC wakijiandaa kumvamia Ole Sendeka miezi michache iliyopita...
Waliompa kuongoza mapambano kanda ya ziwa hawa kukosea jamaa anapiga kazi...
Thanx kwa photo Mkuu. Dah! Kumbe jamaa ni Fighter wa ukweli. Hiyo squad ndani ya choppa imekamilika; ndio maana Nape na timu uchwara yake hawaishi kutokwa mapovu kila uchao.
Makamanda walio serious kama hawa huwezi kusikia wakibwatuka ovyo mara "kuonesha nia" kwenye jimbo fulani, mara sijui upuuzi gani; wao ni kazi tu mengine chama kitawaomba wakati ukiwadia.