Mwanza: Maandamano ya M4C yafunga barabara kuu

Kamanda Mawazo ndio nani?

Mkuu hiki ni kifaa fulani cha maangamizi kinatifua mbaya; chenyewe ni pori kwa pori tu nadra sana kuonekana mijini; kikionekana kinaacha gumzo na taharuki.

Naona Kamandi Kuu (the Pentagon) imeamua kicheze na Kanda ya Ziwa zaidi. Hizi namba tatu - Lema, Mawazo, na Bananga ni noma. Wakuu, kama alivyoomba mdau hapo juu, tafadhali aliye na picha ya huyu Kamada atuwekee hapa.
 
Wadanganye ambao hawaijui Mwanza huwezi kufunga barabara zote hizo kwa nusu saa.

Kutoka Capri Point mpaka uhuru ni mbali hapa katikati lazima upite barabara ya Kenyata, Karuta, Lumumba, Nyerere, Liberty, ndiyo ufike Uhuru, sijui zilifungwa vipi hizo barabara.
 
Mimi ninayo ya zamani akihutubia parade kama vice head prefect wangu pale Geita High School, vipi itafaa?
 
Mawazo ni msela mmoja mwenye brain kubwa inayofikiria in a straight line! yoko_genuine sana
 
Wadanganye ambao hawaijui Mwanza huwezi kufunga barabara zote hizo kwa nusu saa.

Kutoka Capri Point mpaka uhuru ni mbali hapa katikati lazima upite barabara ya Kenyata, Karuta, Lumumba, Nyerere, Liberty, ndiyo ufike Uhuru, sijui zilifungwa vipi hizo barabara.

Hahahaa moyo naona umekuuma hahaa, ukisoma povu lako it easy to tell jinsi ulivyo desperate... okey hawajafunga barabara.. Naona umefurahi sasa!
 
Wadanganye ambao hawaijui Mwanza huwezi kufunga barabara zote hizo kwa nusu saa.

Kutoka Capri Point mpaka uhuru ni mbali hapa katikati lazima upite barabara ya Kenyata, Karuta, Lumumba, Nyerere, Liberty, ndiyo ufike Uhuru, sijui zilifungwa vipi hizo barabara.

Karibu Mwanza mkuu Ritz ...napatikana mitaa ya Nera,unapapata?
 
Wadanganye ambao hawaijui Mwanza huwezi kufunga barabara zote hizo kwa nusu saa.

Kutoka Capri Point mpaka uhuru ni mbali hapa katikati lazima upite barabara ya Kenyata, Karuta, Lumumba, Nyerere, Liberty, ndiyo ufike Uhuru, sijui zilifungwa vipi hizo barabara.

tatizo ni kwamba una assume. Mda mwngne inakubid utumie kichwa cha juu kuwaza. Kuwaza sio kazi ya masabu.ri
 
Mawazo ni msela mmoja mwenye brain kubwa inayofikiria in a straight line! yoko_genuine sana

Yes he is bright.. Anatufanyia kazi nzuri sana kanda ya ziwa.. Ni mwanamapinduzi since his childhood, anaamini CCM ni mkoloni mweusi.. Anaipenda chadema, he once said ipite dakika mbili hajaiwaza chadema he will die! Ni kamanda wa tofauti katika hii karne.
 
Wadanganye ambao hawaijui Mwanza huwezi kufunga barabara zote hizo kwa nusu saa.

Kutoka Capri Point mpaka uhuru ni mbali hapa katikati lazima upite barabara ya Kenyata, Karuta, Lumumba, Nyerere, Liberty, ndiyo ufike Uhuru, sijui zilifungwa vipi hizo barabara.

Na wewe wadanganye ambao hawaijui CDM Mwanza kufunga barabara zaidi hata ya hizi kwa dakika 15 ni ktu cha kawaida sana
 
Barabara kubwa Mwanza ni Nyerere, Makongoro, Uhuru, Kenyata, Rufiji, kwisha hizo zingine ni tumitaa tu. Mtu yoyete kama ana harusi au msiba anazifunga tu.
 
Back
Top Bottom