Sijawahi fika ,mnanitamanisha niende kutembea.Nilijua ni mimi peke angu
Nitarudi tena safari hii nataka nilale malaika Beach ili nipate treatments za kitalii kabisa![]()
😂😂😂 wee labda uje na WenzakoNext time ukirudi unitafute nikudunde..😂
Ila pale hamna rooms za laki 1Nilijua ni mimi peke angu
Nitarudi tena safari hii nataka nilale malaika Beach ili nipate treatments za kitalii kabisa 🤣🤣🤣🤣
Baridi tushaizoea..Wabishe tu ila mwanza pazuri bwana.... arusha baridi kali inapashusha thaman
Wenzangu ni akina ngumi tu we wenzako najua ni meno..🤣😂😂😂 wee labda uje na Wenzako
Shauri zako kijana 😂Wenzangu ni akina ngumi tu we wenzako najua ni meno..🤣
Yes..Sema gharama zake asee si kitoto
Ukirudi uniambie tuongozane
Ah panavutia sanaNilijua ni mimi peke angu
Nitarudi tena safari hii nataka nilale malaika Beach ili nipate treatments za kitalii kabisa![]()
Dah buku nane sitakuja kwenda hapoYes..
inatakiwa kibubu kiwe kimejaa jaa..
Mfano hapo Malaika Chips plain buku 8, imagine 🤣
Ah unapenda safari hadi rahaDahh ntakuwa naenda angalau kwa mwaka mara moja nile maisha mimii
Safari nyingine nataka niende hadi ukerewe
Ati Nini??😂😂Wewe kaa hukohuko kwanza unavurugu hatukutaki..😎
Ninayo familia kubwa tu huko,,Ndo uende mkuu uupe moyo raha
Kaa hukohuko usije mwanza utatuletea balaa!Ati Nini??😂😂
We hutaki monkey pox😂😂hebu kaa kwa kutuliaKaa hukohuko usije mwanza utatuletea balaa!