Wakuu kabisa,
Heshima mbele.
Napenda kutoa hoja. Kwamba, kwa ongezeko la members wa JF jijini Mwanza (Rock City), ningependekeza uwepo mjumuiko wa kuipaisha na kuunda umoja wa JF hapa jijini yaani (JF Mwanza wing) au (JF Rock City wing).
Kwa kuwa ongezeko hili la wadau linazidi kukua, kwa kuwa JF inazidi kupata umaarufu katika tasnia ya kupashana habari motomoto zisizolala, kwa kuwa kundi kubwa la jamii yenye uelewa na usomi kujivinjari na JF kila kukicha, na kwa kuwa jiji la Mwanza ni kubwa na wadau wengi wanaingia na kutoka...ni busara sana sasa sisi wakazi wa jiji hili kuunda kaumoja ketu (japo kwenye msafara wa mamba na kenge wamo) hiyo haijalishi.
Waheshimiwa sana wa Rock City na ng'ambo, naomba kutoa hoja.

what for? Wewe ingia changia mada ukiwa na tatizo sema usaidiwe.
Somo,
As far as ndio tunajadili, tutaweka tarehe ambayo tutaweza kujumuika pamoja kwenye venue tutakayoona inafaa. No matter wat, tutawasiliana kwa ukaribu somo.
Somo,
As far as ndio tunajadili, tutaweka tarehe ambayo tutaweza kujumuika pamoja kwenye venue tutakayoona inafaa. No matter wat, tutawasiliana kwa ukaribu somo.
Mkuu tujuane kabisa kwa sura na majina yetu halisi.....ahhh....sijui itakuwaje.....sijui ndio point yako hiyo...wengine uchangiaji wetu unasababisha kutotaka kuonekana kabisa katika uhalisia wetu....think about..that.
Tatizo la kujuana ni unafiki,mkishajuana watu hawawezi kumkosoa mtu
'
"Shoga" yako au "Msela" wako akisema jambo huwezi kumkosoa hapa
'
Hapa Mwanza JF siku hizi ina wanachama wengi kidogo
'
Lakini sijui kama kufahamiana kuna tija!
JF Rock City tupo wengi sana tu, ila wengi ni waoga sana kukutana.
Kuna wanaosema kuonana ni "Unafiki" n.k. Kwani Wing zingine huwa wanafanyaje na sie tushindwe? Kumekuwa na Umoja na Mshikamano miongoni mwa member waliokutana mpaka wana Wenyeviti na Makatibu Mf. JF Arusha Wing, je wao wanakabiliana vipi na huo unafiki? Je wanashindwa kukosoana wanapokosea ndani ya JF?
Wanaosema hakuna tija kufahamiana... Hamkuona kilichofanyika JF Arusha Wing kwa kwenda kutoa mkono wa pole kwa Dada yetu KOKUTONA? Wale tulioshiriki kwa namna moja ama nyingine tuliweza kutambua umuhimu wa JF na dada zetu kama Madame B, Smile, KOKUTONA na wengine wanaufahamu umuhimu wa JF.. wanaweza kuwa mashahidi hapa.
Hakuna haja ya kufahamiana kwa majina halisi labda ikitokea nikakutana na wewe Rock City kisha nikatambua kuwa wewe ndiye Boss wangu potelea mbali, ila tutambuana kwa ID zetu za JF.
Katika party iliyofanyika mwanzoni mwa mwaka huu "White Party" kuna watu waliohudhuria kwa kuficha ID zao. Kama hutotaka kujulikana unaweza kuficha ID yako. Si lazima tukufahamu kwa ID yako kama hutotaka.
Ni mawazo yangu....