Mwanza itatingishika Lowassa atakapowasili kesho!

Aisee ningekuwepo Mwanza nisingekosa hiii ,nampenda Lowassa hata iweje hata mumpake mavi mwili mzima nampenda tu
 
E
Eti mwanasiasa maarufu baada ya Nyerere. Yani unamlinganisha Edo na Nyerere??? Hatari Kubwa!!!
 
Chadema acheni kudanganya wananchi na thread mbuzi kama hizi ....siasa za matukio ni aibu tu ....hata issue ya katibu inafanyiwa siasa .....watu wanaandaliwa kushangilia tu ....endeleeni kudanganyana na wasiojielewa ....
 
Lowasa ni moja ya Lulu za Taifa letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…