Mwanza imeharibika kwa ukahaba

Kuna maeneo ulipita mida ya usiku ni kama yamehararishwa kwa ajiri ya biashara ya ukahaba (Ngono) na mida ya saa mbili ulipita nyuma ya stand ya Nyegezi iliyopo mwanza utazani kuna shule ya wanafunzi wa kike waliopo bording , sijui kama serikali hailioni hili au ndo kupuuzia.
Nenda the casky kwa mashoga na wasagaji

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli kabisa hali ni mbaya sana. Mbaya mnoo. Mtu hata unaogopa kuolewa, unaogopa hata kuzaaa
Unakua innocent lakini kuna mshenzi mmona atakuja kukuumiza.
Watoto wa kiume ndo imekua hofu koo kwa sasa katika jamii. Inaogopesha mno mno mno. Dah. Lile chimbo la lambo limepooza siku hizi. Yaan wamehamia kidimbwi huko.

Kuna dada ameanza jiuza akiwa na 13 years sasa ana 34yrs. Sijui kama atakua salama. Na anataka olewa sasa hv. Na bado anaendelea na kazi yake. Dunia nimeiogopa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Huyo atakuwa na shimo Sasa,miaka yote hiyo,duh!!!.
 
Binafsi naunga mkono biashara hii maana wanajali afya kuliko hawa wa mtaani,wanaojiuza huwezi kwenda pekupeku,ila hawa wa huku mtaani atakuaminisha uko peke yako kumbe mko saba na vizinga kibao
Hii ndio point ya msingi kabisaaa. Mara mia ugegede malaya 1000 kuliko kuoa na kujiaminisha kwa mke wako kuwa papuchi ni yako weye peke
 
IMG_20201006_185400.jpg

Achana na hao mkuu. Nina connection ya type Kama hii hela yako tu
 
Back
Top Bottom