Mwanza imeharibika kwa ukahaba

Ila mnaowachukia makahaba nawashangaa mno!

Ujue makahaba hawapiti nyumba kwa nyumba kujiuza.

Wana maeneo yao maalumu wanajipanga huko.

Tena mara zote wao huenda kwenye maeneo yao nyakati za usiku.

Sasa wewe kipi unapungukiwa?

Maeneo yao si yanajulikana?

Kwanini upite mitaa hiyo kama wamekuwa kero kwako?
Yaelekea akipita Kule anashawishika anapowaona.
 
Binafsi naunga mkono biashara hii maana wanajali afya kuliko hawa wa mtaani,wanaojiuza huwezi kwenda pekupeku,ila hawa wa huku mtaani atakuaminisha uko peke yako kumbe mko saba na vizinga kibao
True..

Hawa wa mtaani haupimi na siku ya kwanza ndomu,siku ya pili mnapimana kwa macho mnateleza kavukavu unasimamia show mnachubuana unachukua AIDS.

STD's unazoweza kuchukuwa kwa hawa ni herpes kama utavua boxer.
 
Mtu akipata Ukimwi kwa malaya wa kujiuza atakuwa ni mwenye gundu kupindukia na pia asiyejielewa.
Mbona ukimwi unapata tu mzee, kwenye aslimia 25 izo zilizobaki kwenye matumiz ya kondomu mbona zinawezekanika kuupata
 
Back
Top Bottom