MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,231
Wadau habari za jioni,
Tangu jana niko kwenye mji ambao wengi wanauita Rock City, ama kweli ni jiji la miamba tu halina lolote.
Lengo lengo langu hasa hapa nilikuja kutafuta vitendea kazi ikiwa ni pamoja na kutafuta Video Camera na vifaa vingine, cha ajabu maduka Mwanza hakuna hata Duka la vifaa hivyo vidogo ktk maisha.
Nyie wasukuma watani zangu msirudie hata kulinganisha Mwanza na Arusha please.