Mwanza hapafai, msilinganishe na Arusha

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
1,191
1,228
Wadau habari za jioni,

Tangu jana niko kwenye mji ambao wengi wanauita Rock City, ama kweli ni jiji la miamba tu halina lolote.

Lengo lengo langu hasa hapa nilikuja kutafuta vitendea kazi ikiwa ni pamoja na kutafuta Video Camera na vifaa vingine, cha ajabu maduka Mwanza hakuna hata Duka la vifaa hivyo vidogo ktk maisha.

Nyie wasukuma watani zangu msirudie hata kulinganisha Mwanza na Arusha please.
 
Arusha bado sana labda muunganishe na moshi dodoma na tanga pamoja na hiyo arusha yenu ndo mlifikie jiji la Mwanza
 
Hivi wewe uko mwanza gani?Au upo kayenze kwetu?Siku nyingine usirudie kusema maneno hayo watu watakushangaa sana
 
Labda kwa sababu wewe ni mgeni... Vichochoro huvijui...

Dar au Arusha kuna mambo mengi sana yanapatikana.. Lakini kama ni mgeni unaweza usifanikiwe na lolote...


Cc: mahondaw
 
Wadau habari za jioni!
Tangu jana niko kwwnye mji ambao wengi wanauita Rock City, ama kweli ni jiji la miamba tu halina lolote
Lengo lengo langu hasa hapa nilikuja kutafuta Vitendea kazi ikiwa ni pamoja na kutafuta Video Camera na vifaa vingine, cha ajabu maduka MWANZA hakuna hata Duka la vifaa hivyo vidogo ktk maisha

Nyie wasukuma watani zangu msirudie hata kulinganisha mwanza Na Arusha pls.
Hujielewi wewe..kama hujajua upite wapi tunakuomba kukikucha alfajili songesha pale Nyegezi stand au Buzuruga stand,panda bus la kijijini kwako utupishe.
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom