Mwanza City: The Photo Gallery

Maendeleo ni kama Mwanga Boss, Jiji haliwezi ng'arishwa Ilemela ikabaki imepauka. Nimegusa Metropole kwa sababu ndio taswira ya JIJI.
Sura ya jiji ni ilemela na nyamagana... huwezi kusema mwanza jiji . ilemela isiwemo ..na ndio maana nimesema bado Kuna mgogoro wa namna Gani ya kuiita halmashauri inayosimamia nyamagana...jina inatakiwa iiitwe nyamagana municipal council.lakin changamoto ilionekana kuwa kama tutaita hv bas kwenye orodha ya majiji mwanza haitakuwemo ..ndipo waliazimia ibaki tu na Hilo jina la zamani
 
Dodoma..maframe yapo . nkuhungu,mnada Mpya ,maili mbili ,kisasa ,mkonze n.k
 
Na haitawezekana kuiunganisha Ilemela na Nyamagana, hilo baraza la madiwani litakuwa kama darasa la shule ya msingi na atatakiwa awepo Mbunge mmoja tu.
 
Hahaha, mambo ya Chicago, Dalas Texas, Washington, Atlanta Georgia,
nadhani wale jamaa miji yao yote ni ya maana maana tu kwa hiyo kunakuwa hamna immigration zisizokuwa za msingi au kutambiana
 
Mzee baba angemaliza mda wake mwanza ingekuwa kama paris aisee
Yule jamaa alikuwa anaibadilisha hii nchi sio mza tu,
Hakuna anayeongelea treni za mjini na tram/metro kwa sasa ila yeye alitaka ziwepo.

Hizi barabara tunazopiga kelele yeye plan ilikuwa barabara zote zinazoingia na kutoka kwenye majiji zipigwe njia nne kwa 50km.
 
Kwa nini tarura wasiige?
 
Kuna miradi ya tactic inaanza mwakani so watapiga kelele Humo balaa, barabara kubwa hazimo kwenye tactic.
 
Emirates wanautaka sana huu uwanja Toka enzi za mkapa.

Kitu kingine kinachonipa wasiwasi kwa nini wanachelewesha huu uwanja ni kwamba watu wengi hutoka mikoa ya kanda ya ziwa kuunganisha flight za nje dar,

Kukiwa na flights za kuja mza kutapunguza abiria dar,
Strategically Airport ya mza iko katikati ya miji yote mikubwa ya East africa so ni rahisi kufanya hub.
 
Na mimi ndio idea yangu.
Kuna maeneo lazima tuyashike for future development.
Mtu mwenye akili angepima viwanja nyamhongolo au sangabuye au popote then kuna viwanja unahifadhi kwamba kuna wakati nhc au kampuni yoyote itataka kujenga apartments viwanja vina kuwepo.
Sio wakija mnawaambia viwanja viko kayenze
 
Hii mambo ya halmashauri kujikusanyia mapato ndo shida ilipo.
Kwangu mimi nafikiri serikali kuu iwe inakusanya mapato then halmashauri zinapendekeza miradi kama tactic ilivyo zinazokidhi zinapewa mpunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ