Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Ujenzi wa njia nne itategemeana na upatikanaji wa fedha
Miradi ya serikali huwa haiaminiki, kun project fulani kabla ya tactic kwasasa nayo ilikuwa chini ya world bank ilitusaidia kupata barabara ya mwaloni, sabasaba na ya mji mwema, nyamagana walipata barabara za mjini kati, ujenzi wa dampo buhongwa na ujenzi wa madaraja ya kisasa mjini kati.
 
Hii mirad Hayati angekuwa ameianzisha hata asilimia 5 ingekuwa uhakika kujengwa lakin kwa mama itakuwa ngumu sana na hv sasa hv mama kuja mwanza ameona ngumu baada ya mapokez yake kudorola kipnd cha nyuma kwny ziara zake mwanza
Hapa ndo tatizo lilipo, nasikia story zamani Tanga lilikuwa jiji kubwa tu, kimasihara tu ukageuka kuwa mji wa ajabu ajabu hata Mwanza isipo jipanga dodoma can come and take over, Arusha wanaangushwa na stand lakin barabara wanajitahidi tu, maji ni 24/7 everywhere, sisi ni mwanza ni wengi lakini resources zetu ni very limited na unakuwa unaona kabisa hamna mpango wa kuziboresha licha ya kuwa na wingi wa watu

Tusidanganyike watu binafsi kujenga majumba mazuri, concern yetu iwe kwenye miundombinu iliyo bora, ubora na uzuri wa miundombinu ndio ubora na uzuri wa mji
 
Chanzo cha butimba kinajengwa kuaccomodate watu laki 4 sasa hapo ndio matatizo yanaanza kwann wasijenge kuaccomodate watu milion 1 kwasababu mwanza inakua sana
 
Mwanza haiwez kuja zidiwa na Dodoma coz mwanza inakua kila dk kila saa na kila mda shd ndio hao policymaker they don't care hyo barabara ya Buhongwa to igoma inachukua kata 4 lakin hamna Lami barabara ya mkuyuni to nilepearch inachukua kata 5 za mkuyuni,butimba,mahina,mhandu na nyakato lakin had sasa ni mavumbi tu
 
Pale buhongwa center unakuta watu wanafanya biashara ya kuuza maji kila siku shida ni kubwa sana
 
Mwanza haiwez kuja zidiwa na Dodoma coz mwanza inakua kila dk kila saa na kila mda shd ndio hao policymaker they don't care hyo barabara ya Buhongwa to igoma inachukua kata 4 lakin hamna Lami barabara ya mkuyuni to nilepearch inachukua kata 5 za mkuyuni,butimba,mahina,mhandu na nyakato lakin had sasa ni mavumbi tu
Hata zikijengwa unaabiwa hii ni ya tarura, hao tarura wenyewe sasa wanavyojenga barabara unaeza ukasema hivi hawa watu Wako serious kweli!? Yani wanapigwa Yale ma diesel tu sijui ma bitumen halafu wanamwaga makokoto makubwa makubwa , mvua ikija kokoto zinasombwa hapo sahau kuhusu maintanace
 
ila benki ya dunia wanajenga barabara aisee sio mchezo cheki ya sabasaba buswelu halafu hii ya igoma to buhongwa ilitakiwa njia nne
 
Ile road ndo inataka kunifanya nihamie kiseke, mtu huezi toka ndani umependeza unapiga hatua mbili tatu Kama umevaa kiatu cheusi kinakuwa brown.. ya nini kujitesa na tunaishi mara moja, yani mtu wa dodoma alie vumbi na Mimi wa Mwanza nilie vumbi
 
Hapa ndo tatizo lilipo, nasikia story zamani Tanga lilikuwa jiji kubwa tu, kimasihara tu ukageuka kuwa mji wa ajabu ajabu hata Mwanza isipo jipanga dodoma can come and take over, Arusha wanaangushwa na stand lakin barabara wanajitahidi tu, maji ni 24/7 everywhere, sisi ni mwanza ni wengi lakini resources zetu ni very limited na unakuwa unaona kabisa hamna mpango wa kuziboresha licha ya kuwa na wingi wa watu

Tusidanganyike watu binafsi kujenga majumba mazuri, concern yetu iwe kwenye miundombinu iliyo bora, ubora na uzuri wa miundombinu ndio ubora na uzuri wa mji
Unachosem n kwel kak mwanz ispokua makin itapitwa coz kinachomatter n maendeleo sio wing wa watu ata kun mji kua mkubwa na kun kua umeendelea n vtu viwil tofaut dom wanaboresh miundombinu hasa barbarkw kias kikubw mifumo ya maji nandh ile dhna ya kua tu kua second city na kuridhika haifai kuish nayo kbsa...utabak kua mji mkubw na haun maendeleo
 
Mwezi upi, hao wanasiasa nao sio wa kuwaamini Sana wanapendaga kutoa matamko tu ambayo kiuhalisia mengine ni ngumu kutekelezeka
Wanaongea tu kuwaridhish wananch com sera yao hawan haraka wanaamin mambo yatafanyik ata miak ijayo ila wao wale kwanz
 
Unachosem n kwel kak mwanz ispokua makin itapitwa coz kinachomatter n maendeleo sio wing wa watu ata kun mji kua mkubwa na kun kua umeendelea n vtu viwil tofaut dom wanaboresh miundombinu hasa barbarkw kias kikubw mifumo ya maji nandh ile dhna ya kua tu kua second city na kuridhika haifai kuish nayo kbsa...utabak kua mji mkubw na haun maendeleo
Yes kuna mji kuwa mkubwa halafu Kuna mji kuwa na bora
 
Unachosem n kwel kak mwanz ispokua makin itapitwa coz kinachomatter n maendeleo sio wing wa watu ata kun mji kua mkubwa na kun kua umeendelea n vtu viwil tofaut dom wanaboresh miundombinu hasa barbarkw kias kikubw mifumo ya maji nandh ile dhna ya kua tu kua second city na kuridhika haifai kuish nayo kbsa...utabak kua mji mkubw na haun maendeleo
Nyamagana yakiboreshwa haya mambo yatakuwa mazur kwny barabara
1.barabara njia nne had usagara
2.buhongwa had igoma
3.mkuyuni had nyakato
4.buhongwa Hadi bukumbi had bulale
5.zile barabara za mwananchi had mahina Kati kuna barabara nyingi za vumbi ingawa makazi ni mazuri
Barabara za ilemela
1.njia nne kutoka mjini had nyanguge
2.Airport had nyanguge had kisesa
3.kahama had Tx
4.kahama to ilalila had sangabuye
5.buswelu had nyamhongolo
6.buswelu had igoma kiwanda cha coca
7.ibanda ziwan iungane na barabara ya mwaloni
8.barabara za kirumba za vumbi za muhimu zipigwe Lami
9.barabara za buswelu mjini zipigwe Lami baadhi
 
Makamu wa Raisi mpango aliwaambia kufikia trh 25 kusiwe na shd ya maji mrad uisheuo

Nchi hii sijui ina matatizo gani.

Kwenye Masterplan mpya ya Jiji inaonesha Usagara, Fela na Kisesa kuwa sehemu ya Jiji lakini mpaka sasa kiuwekezaji Ilemela na Nyamagana wanayakwepa hayo maeneo kwasababu haziwanufaishi kwa sasa.
Iyo wilay ya 3 haikwepek ipo tu ata kabla ya maguful kutak iundwe wilay mpya plan ilikuepo shida n kua ccm hawana harak na ishu ya nyamgan na ilemel kutok tak kupotez mapto n sawa coz we upanue mji na anafaidik mwngne misungw na magu zitaonekn ndo zinafny vzur while sio vitega uchum vyao
 
Back
Top Bottom