Mwanza City: The Photo Gallery

Bila kuzuia watu wasijenge nyumba tusahau haya mambo ya property development kwenye nchi yetu.
Ndo mana ulaya mashirika ya nyumba ndo yanajenga nyumba , Kwa standard zote , mwananchi kazi yako ni kununua au kupanga na facilities zote zinakuwepo , barabara , umeme maji n.k , bongo kila mmoja anajenga Kwa ramani yake na Kwa uelekeo anaaoona unafaa , mpak uchochoro wa kupita unakosa , mkitaka kuweka rami inabdi muendeshe bomoa bomoa tena ๐Ÿ˜
 
Awareness ni ndogo miongoni mwetu ..
Na uchache pia wa wawekezaji wa real estate

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nipo hapa buhongwa, na sisi tunahitaji ka wilaya ketu
Sababu population tunayo, halafu sisi ndo tunailisha Mwanza nzimaa, tumezalisha kata ya pili this time
Kata gani mmezalisha
 
Apa Maneno tu
 
Hivi wanakojenga Chuo cha Bugando in Isela ya Buswelu au Usagara?
 
Apa Maneno tu
Chenga tupu , kile kipande cha kutokea mto mirongo mpak mwaloni wameshindwa hata kuweka recreation ground , kukawa na beach fulan hv amazing , watu wakawa wanachili pale, ingeleta mandhari Bora kabisa, hata kumpa mwekezaji wameshindwa , eneo linabak kunuka vinyesi tuu, kisa hao tampere , mwaka karbia wa 15 sasa Stori n hzo hzo za tampere
 
What if Tampere walishatoa fedha na zikapigwa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mikidadi umeona sasa, nilikuwa nakuambia hii stendi ya nyegezi ni habari nyingine.
 
Ilo eneo ndio kuna mradi wa tampere park.
 
Ilo eneo ndio kuna mradi wa tampere park.
 
Hivi hayo Ujenzi wa majengo ya DIT upo pale pale kwenye eneo la chuo au eneo jipya? Naomba mniambie ili niwe nafatilia, ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ