Mwanza City: The Photo Gallery

Huwa nasema mwanza ni ilemela na nyamagana, nje ya hapo sio mwanza coz kuna siku, huko sengerema, misungwi, magu au ata kwimba wanaweza kuwa mkoa mpya lakini sio ilemela na nyamagana.
Nitapenda kama siku moja Ukerewe ingizwe Jiji
 

Kabisa
 

Watu maarufu wote wanaishi Dar siyo jambo zuri kwa mfano wasanii
 
Kweli kipato cha watu wengi chenga , majengo mengi bongo floor za juu wamejaa popo tuu , sasa hyo hasara Nani atakubali , mji ukifikia uhitaji wa kuwa na majengo marefu yatakuja tuu
 
Kweli kipato cha watu wengi chenga , majengo mengi bongo floor za juu wamejaa popo tuu , sasa hyo hasara Nani atakubali , mji ukifikia uhitaji wa kuwa na majengo marefu yatakuja tuu
Kweli kabisa ... mwekezaji anaangalia ROI na ROA .. return on investment na return on assets .... ukiangalia majengo mengi marefu hata dar hayana wapangaji...hasa haya ya taasisi kama TPA ,NSSSF,nk ..Kwa hyo inakuwa hamna faida ya kuwa tower ndefu ambazo hazileti return....nadhan wengi wetu bongo hatuna uelewa na property investment..mtu anaona ni Bora akanunue kiwanja kisesa kuliko anunue apartment ndani ya ghorofa aiishi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Bila kuzuia watu wasijenge nyumba tusahau haya mambo ya property development kwenye nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ