bronze
JF-Expert Member
- May 24, 2020
- 430
- 803
Aisee me huwa ninawazo la ajabu Sana huwa nawaza siku mapesa mengi yakinitembelea lazima niinunue pamba fc then naweka mpunga wa kutishaBaada ya Yanga na Simba sidhani kuna timu inayoweza kuifikia Pamba FC ya miaka hiyo.Natamani ile timu irudi
Michezo inafanya sehemu kuwa popular mfano mzuri ni Brazil, kila mtu anaijua Sababu ya football!

