Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Bonasera lounge
7903e2ad81b4c6ba11ca4e8c21538b6f.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nimetoka kazini nikapita barabara ya nyerere, hapo karibu na aga khan jengo la kitalii, karibu na daraja la natta kama unaenda salaaman hospital, opposite na top roof hotel wamezungushia mabati, na eneo hilo lote lazima ujenge 10+ floor, hakika hiyo sehemu italeta mvuto zaidi.
 
Mbona agha Khan haipo Nyerere road..au area zip

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Sio aga khan hospital, kuna lile jengo kubwa la aga khani jeupe limekaa kama tarj mahal ya india.
Isijekuwa unazungumzia ule msikiti wa njia panda ya bugando, maana agakhan haipo Nyerere road.
 
Kabla hujafika hapo natta stendi, au tuseme karibu na coconut hotel maeneo hayo.
Nishapafahamu ....uzio wa bati ni mkubwa au mdogo tu wa kawaida....maana kuwekwa mabati Kuna maanisha project za aina nyingi..inaweza ikawa ni rehabilitation ya maduka hayo yawe katika mwonekano tofauti kama ilivyofanyiwa jengo la Stanbic kuw Nyerere road plaza ...

Jengo refu lazima kiwe na uzio mkubwa wa bati

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nishapafahamu ....uzio wa bati ni mkubwa au mdogo tu wa kawaida....maana kuwekwa mabati Kuna maanisha project za aina nyingi..inaweza ikawa ni rehabilitation ya maduka hayo yawe katika mwonekano tofauti kama ilivyofanyiwa jengo la Stanbic kuw Nyerere road plaza ...

Jengo refu lazima kiwe na uzio mkubwa wa bati

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Maduka yamebomolewa yote, wakazungusha bati.
 
Nishapafahamu ....uzio wa bati ni mkubwa au mdogo tu wa kawaida....maana kuwekwa mabati Kuna maanisha project za aina nyingi..inaweza ikawa ni rehabilitation ya maduka hayo yawe katika mwonekano tofauti kama ilivyofanyiwa jengo la Stanbic kuw Nyerere road plaza ...

Jengo refu lazima kiwe na uzio mkubwa wa bati

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Uzio umewekwa kuzunguka eneo la mradi hakuna rehabilitation hapo, ni new building wili be raised soon.
 
Back
Top Bottom