Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Hv unajua daladala za igombe zimeandikwaje[emoji16][emoji16]. IGOMBE TO MZA .,,igombe kwenda mwanza . ilemela sio mwanza [emoji28][emoji28][emoji28]mm nipo nyamagana ila ilemela wanakuja kasi sana na maeneo mengi ya ilemela yamejengeka sana huwez kuta mabati meupe mengi