Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Kwan tecno tower na seif plaza tower zina floor ngap?Kwan mongo house na Nyerere road zina floor ngapi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwan tecno tower na seif plaza tower zina floor ngap?Kwan mongo house na Nyerere road zina floor ngapi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
He jamani limevunjwa lini tenaBaada ya soko kuu la kirumba kuvunjwa kupisha ujenzi wa soko kuu la kisasa manispaa ya ilemela
View attachment 2368921View attachment 2368923
Mikdde kumbuka ilo eneo ni la kona na panafanana sana na nyerere road plazza, so ata wakijenga floo tisa au nane na wakaweka nakshi ya vioo pataleta mvuto sana🙏🙏Kwan tecno tower na seif plaza tower zina floor ngap?
Pana week tatu toka wamevunja kupisha ujenzi wa soko kuu la kirumba pamoja na barabara za mzungukoHe jamani limevunjwa lini tena
Ngoja tuone nitafatilia nione ni jengo gani na floor ngap🙏🙏Kwan mongo house na Nyerere road zina floor ngapi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ukiona crane jua ni jengo kubwa .......hvi lile jengo mkabala na pigeon hotel walishamalizia finishing ? Au bado .Ngoja tuone nitafatilia nione ni jengo gani na floor ngap![]()
Hilo jengo bado halijaisha.Ukiona crane jua ni jengo kubwa .......hvi lile jengo mkabala na pigeon hotel walishamalizia finishing ? Au bado .
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kuna dalili za crane kuwepo ? Au mafundi tu watamaliza kazi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mikdde kumbuka ilo eneo ni la kona na panafanana sana na nyerere road plazza, so ata wakijenga floo tisa au nane na wakaweka nakshi ya vioo pataleta mvuto sana🙏🙏
Sawa kabisa ..mtatupa update mlioko huko .View attachment 2378280
Ni hapa hv nilipozungushia red , ila bati zenyewe zilizozungushiwa ni zile bati chakavu , possibility hakuna mradi mkubwa hapo , nahsi maduka Tu ya mfumo wa contemporary, inaonekana tuu mradi haupo well financed kufika 10 floor , may be zikipanda Sana 5 , but anything can happen
Jengo la aga khan linafanana lakin kwa mbaaaaali, Tena hiyo tempo saivi imepigwa rangi mpya nyeupe Safi kabisaHahaha eti Taj Mahal... najaribu kufikiria jengo hapa mwanza linalofanania na Taj Mahal labda lile la kitana ambalo halijamaliziwa mpaka Leo. Mengine yote hamna hata robo.![]()
Oh ok...Kwa sababu ya Yale mavyungu kule juu.Jengo la aga khan linafanana lakin kwa mbaaaaali, Tena hiyo tempo saivi imepigwa rangi mpya nyeupe Safi kabisa

Siku hizi huendi rufiji?Ngoja tuone nitafatilia nione ni jengo gani na floor ngap🙏🙏
Rufiji project mpya hamna.Siku hizi huendi rufiji?
Ok week iliyopita nilipita apo Kuna jamaa alikua na duka anauza vyombo nilikuta anatoa vitu vyake....Hakika sasa upande wa pili sasa karibu hapo kona ya kuingia darajani, kama unaenda salaman hosp.
upo sahihi kabisa, kwasasa ndio wamebomoa na kuweka uzio wa bati nahisi kuna ujenzi mkubwa utatokea maeneo hayo.Ok week iliyopita nilipita apo Kuna jamaa alikua na duka anauza vyombo nilikuta anatoa vitu vyake....
ngoja waweke bango kwa nje kwasasa wapo wanafanya land clearing.Kuna dalili za crane kuwepo ? Au mafundi tu watamaliza kazi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
hapo hapo kabisaa.View attachment 2378280
Ni hapa hv nilipozungushia red , ila bati zenyewe zilizozungushiwa ni zile bati chakavu , possibility hakuna mradi mkubwa hapo , nahsi maduka Tu ya mfumo wa contemporary, inaonekana tuu mradi haupo well financed kufika 10 floor , may be zikipanda Sana 5 , but anything can happen
Sehemu ya kujenga gorofa 10+Tatizo pia kwenye huo mradi wameweka mabati chakavu sasa hayo yananipa wasiwasi na huu mradi kama ni wauhakika au ni maduka tu kama ya mtaani kwetu, pia kama halmashauri wakiacha sehemu kama hiyo pajengwe bila kufuata master plan ya Mwanza CBD, tutakuwa na halmashauri ya ovyo sana.