Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Nyamagana residential area nzuri ni capripoint, mwananchi, isamilo na nera pengine pakawaida tu, lakini ilemela ni simba wa maeneo bora hapa Tanzania kama, bwiru, nyasaka, pasiansi, lumala, kiseke, ilemela, malaika area, kirumba, nyamhongolo, mecco, nundu, kangaye, buzuruga na buswelu nenda hayo maeneo kalinganishe na utopolo wa nyamagana na hayo maeneo ya ilemela yamepitiwa na lami safi standard hakika ilemela ni taswira ya makazi bora hapa Tanzania.
Hayo maeneo uliyoyataja ilemela na yananuka na Ngono sana
 
Ni maoni yako ...ila kinachosababisha nyamagana isionekane sana maeneo yake yenye nyumba Kali yamejificha kama majengo mapya, kanyerere,mhandu,n.k
 
Viongozi hawajui tu kuwa watu wa mwanza wanapenda starehe ambazo wao kama serikali zingewaingizia mapato makubwa tu. Wanakuja watu wengine kabisa na mawazo ya kupiga mpunga wanazichota nyingi wanasepa nazo. Wazo la fiesta aliyebuni si anajidai. Upande wa serikali ni kuweka miundo mbinu saaaafi kwa ajili ya matamasha haya. Kila mwaka wanapelekwa ccm kirumba ilinyesha mvua si itakuwa shida. Ilitakiwa mtu unaburudika huku umekaa zako na safari au castle mezani na radha ya tamasha unai-feel.
 
Hayo maeneo uliyoyataja ilemela na yananuka na Ngono sana
Acha ujinga😂😂 hayo maeneo yapo safi na hayana uchafu kabisa ni maeneo ya kishua ukitoa kirumba ndio maasi yote na ngono na kila kitu ndio mahala pake kirumba ndio kila kitu mkuu kwa kila kitu.
 
Sasa buhongwa kwanza Inaitwa periurban ..ni maeneo yanayoendelea huwezi fanyia judgement..ukitaka nifanyie judgement maeneo kama hayo mi nitaiangalia kahama kule buswelu kulivyo na mavumbi
Kahama sio vumbi kuna lami inakaribia ilalila centre, nyie nyamagana pambaneni na hali zenu😂😂😂
 
Nyamagana residential area nzuri ni capripoint, mwananchi, isamilo na nera pengine pakawaida tu, lakini ilemela ni simba wa maeneo bora hapa Tanzania kama, bwiru, nyasaka, pasiansi, lumala, kiseke, ilemela, malaika area, kirumba, nyamhongolo, mecco, nundu, kangaye, buzuruga na buswelu nenda hayo maeneo kalinganishe na utopolo wa nyamagana na hayo maeneo ya ilemela yamepitiwa na lami safi standard hakika ilemela ni taswira ya makazi bora hapa Tanzania.
Nipo nyamagana na hapa umrtupiga msumari wa Motoo na Mimi nimekubali upo sahihi Kaka
 
Ni saw kabisa . ...hatubishani ila tunajaribu kufanya comparison na kujua wapi panafaa kufanyiwa marekebisho Zaid
Marekebisho makubwa yafanyike Nyamagana coz baada ya muda Ilemela mtaisikia ipo juu yenu kwa kila kitu😄😄😄
 
Nipo nyamagana na hapa umrtupiga msumari wa Motoo na Mimi nimekubali upo sahihi Kaka
We uko mpakani na misungwi huko unasema uko nyamagana ....walioko hapa kwenye apartment za kishimba wasemeje...ukiwa na hela huwezi sema nyamagana Kuna vumbi ....hvi ushawahi kaa nyegezi huku juu ukaona kulivyo na upepo flani hv amazing na kumetulia
 
Acha ujinga hayo maeneo yapo safi na hayana uchafu kabisa ni maeneo ya kishua ukitoa kirumba ndio maasi yote na ngono na kila kitu ndio mahala pake kirumba ndio kila kitu mkuu kwa kila kitu.
kwan kirumba haipo nyamagana?
 
We uko mpakani na misungwi huko unasema uko nyamagana ....walioko hapa kwenye apartment za kishimba wasemeje...ukiwa na hela huwezi sema nyamagana Kuna vumbi ....hvi ushawahi kaa nyegezi huku juu ukaona kulivyo na upepo flani hv amazing na kumetulia
huko nyegezi ni pazuri sawa ila swali je ushaenda huko nyuma ya stendi mpaka nyamazobe?
 
Back
Top Bottom