Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Kuna ujinga upo siku hiziTatizo linaanzia kwetu sisi .wananchi kujiona ni wanyonge tunaonelewa na kuwa brainwashed na conspiracy theories,,,mwananchi akizuiwa msijenge sehemu flan ,tunasema nchi imeuzwa ,sijui wamepewa watu flani ..hili suala linafanya hata wataalamu wetu wenye mawazo Bora kukataliwa na wanasiasa wanaosimamia sera ili tu kuwafurahisha baadhi ya wananchi watakaowahakikishia ulaji ....
Dawa ya kuleta maendeleo hapa mwanza ni kuwaondoa watu ujinga walionao na wakubali mabadiliko yenye maumivu
Eti tunahalalisha maeneo yenu watakuja wawekezaji mlipwe pesa.
Kiukweli hakuna mwekezaji atakuja tunachafua mji tu.
Wasimamie sheria,
Mtu akijenga vunja, wakivunjiwa watu 20 hivi wengine wataanza kuogopa hakuna anayependa hasara.