Tz nzima hakuna soko kama hiliView attachment 2371581View attachment 2371580
Mahala hapa patapendeza sana baada ya hii project kukamilika
Kuna tatizo kubwa kwenye decentralization of power...ugatuzi wa madaraka ..inafikia taasisi yenye mamlaka na utaalamu kwenye masuala husika .inabishana na tawala za mikoa au halmashauri..ifike hatua halmashauri zetu ziache kuangalia tamaa za mapato Bali zijikite katika kuimarisha ubora wa miji yetu . halmashauri hazipo kufanya biashara ili zipate faida ..zipo kutoa huduma Kwa wananchi ..masuala ya kuzozania mapato ndio sababu kubwa Arusha haina stendi mpaka sasa...Nimemaliza kumsikia RC malima kuhusu uwanja wandege mza!! Kumbe shida ni nani anapaswa kuwa mmiliki wa terminal hiyo ikiisha!!
Inasemekana wamiliki wa uwanja huwa ni TAA, sasa nikama wamelisusa jengo maana wao walikiwa washa design kujenga jengo la terminal la kisasa zaidi kwa bilioni 32 lakini kinyume na utaratibu almashauri zikaelekezwa kujenga jengo la muda kwa kutumia fedha zao bila kuwa shirikisha TAA, sasa TAA hawalitaki hilo jengo wanasema lipo kama standnya buswanasema liwe supermarket
wao wanataka wajenge lao la b32, na kama watalazimishwa kupewa hilo basi wao wawe wamiliki moja kwa moja na watalibadili matumizi wakati huo huo mkoa nao hawataki kuliachia jengo!! Wanasema kwakuwa ni wao wametoa fedha wanahaki ya kukusanya mapato!! Mwisho wasiku jengo limekosa suluhu
![]()
Mwenye picha ya render ya soko atume please tuone litakavyokuwaView attachment 2371581View attachment 2371580
Mahala hapa patapendeza sana baada ya hii project kukamilika
Kwan ule mradi wa Tanki la buswelu si tayari umeisha.nadhani soon huko maji itakuwa historiaJana nilikuwa shibula na ilalila nimeona vitu vifuatavyo
1.issue ya maji hayo maeneo ni changamoto kubwa watu wanateseka sana had najiuliza mwanza kuna shida gani mji unakua kila siku tunapewa mradi wa butimba bilion 69 ambao hautaweza kutatua changamoto zozote wakat arusha Wana mradi wa bilion 500
2.hayo maeneo watu wanajenga kwa kasi sana sasa hv hayo maeneo sio vijiji tena ni wakat wa serikali kufikisha barabara ya Lami sio kujenga Lami nusunusu kila mwaka
Jengo liwe supermarketKuna tatizo kubwa kwenye decentralization of power...ugatuzi wa madaraka ..inafikia taasisi yenye mamlaka na utaalamu kwenye masuala husika .inabishana na tawala za mikoa au halmashauri..ifike hatua halmashauri zetu ziache kuangalia tamaa za mapato Bali zijikite katika kuimarisha ubora wa miji yetu . halmashauri hazipo kufanya biashara ili zipate faida ..zipo kutoa huduma Kwa wananchi ..masuala ya kuzozania mapato ndio sababu kubwa Arusha haina stendi mpaka sasa...
Stendi ya nyegezi kujengwa nyegezi badala ya nyashishi au mzozo wa rock city mall mwaka 2015 kati ya ilemela na MCC ..
Jengo la uwanja wa ndege wapewe taa ,,,liwe terminal 1then taa watajenga terminal 2 wakipata fedha hko baadae
Haliwezi kuwa supermarket..Kwa Sababu itakuwa ni hasara Kwa halmashauri....waache walidesign liwe kama terminal 1 ..then wajipange Kwa ajili ya terminal 2Jengo liwe supermarket
Hili halifai ata kuwa stendi ya daladala kwa maoni yangu mkoa wakubali hilo jengo liwe supermakeet kwa ajili ya wakati wa jiji la mwanza, kama wakizingua liwe jengo la mizigo la pili yaani godown.Nimemaliza kumsikia RC malima kuhusu uwanja wandege mza!! Kumbe shida ni nani anapaswa kuwa mmiliki wa terminal hiyo ikiisha!!
Inasemekana wamiliki wa uwanja huwa ni TAA, sasa nikama wamelisusa jengo maana wao walikiwa washa design kujenga jengo la terminal la kisasa zaidi kwa bilioni 32 lakini kinyume na utaratibu almashauri zikaelekezwa kujenga jengo la muda kwa kutumia fedha zao bila kuwa shirikisha TAA, sasa TAA hawalitaki hilo jengo wanasema lipo kama standnya bus🤣🤣🤣 wanasema liwe supermarket🤣 wao wanataka wajenge lao la b32, na kama watalazimishwa kupewa hilo basi wao wawe wamiliki moja kwa moja na watalibadili matumizi wakati huo huo mkoa nao hawataki kuliachia jengo!! Wanasema kwakuwa ni wao wametoa fedha wanahaki ya kukusanya mapato!! Mwisho wasiku jengo limekosa suluhu 🤣🤣🤣🤣
Ilo jengo nilishasema sio terminal, na haifai ata kuwa supermarket labda waligeuze kuwa soko la kata ya ilemela.
Hamna serikali inaweza kubali kufanya hicho kitu as long as tumeruhusu siasa kuingizwa kwenye mambo nyeti kama haya tutasubiri sana kuwa na terminal ya kisasa hapo sato cityIlo jengo nilishasema sio terminal hiyo hiyo haifai ata kuwa supermarket labda waligeuze kuwa soko la kata ya ilemela.
Fact🤝Kuna tatizo kubwa kwenye decentralization of power...ugatuzi wa madaraka ..inafikia taasisi yenye mamlaka na utaalamu kwenye masuala husika .inabishana na tawala za mikoa au halmashauri..ifike hatua halmashauri zetu ziache kuangalia tamaa za mapato Bali zijikite katika kuimarisha ubora wa miji yetu . halmashauri hazipo kufanya biashara ili zipate faida ..zipo kutoa huduma Kwa wananchi ..masuala ya kuzozania mapato ndio sababu kubwa Arusha haina stendi mpaka sasa...
Stendi ya nyegezi kujengwa nyegezi badala ya nyashishi au mzozo wa rock city mall mwaka 2015 kati ya ilemela na MCC ..
Jengo la uwanja wa ndege wapewe taa ,,,liwe terminal 1then taa watajenga terminal 2 wakipata fedha hko baadae
Kuna tatizo kubwa kwenye decentralization of power...ugatuzi wa madaraka ..inafikia taasisi yenye mamlaka na utaalamu kwenye masuala husika .inabishana na tawala za mikoa au halmashauri..ifike hatua halmashauri zetu ziache kuangalia tamaa za mapato Bali zijikite katika kuimarisha ubora wa miji yetu . halmashauri hazipo kufanya biashara ili zipate faida ..zipo kutoa huduma Kwa wananchi ..masuala ya kuzozania mapato ndio sababu kubwa Arusha haina stendi mpaka sasa...
Stendi ya nyegezi kujengwa nyegezi badala ya nyashishi au mzozo wa rock city mall mwaka 2015 kati ya ilemela na MCC ..
Jengo la uwanja wa ndege wapewe taa ,,,liwe terminal 1then taa watajenga terminal 2 wakipata fedha hko baadae
Terminal 2 itakuwa kwny 100bn hzo bn 32 labda ni kwa bajet ya mwaka huu af pili kwny hii issue magufuli alizingua kuziagiza halmashauri waweke pesa zao sasa huo ndo mgogoro na nahitaji ya jengo kubwa mwanza ni kwa sababu ukitoa uwanja wa Dar airport ya mwanza ndo inafuatia kuwa na abiria wengiNapenda kutofautiana na wengine.
Hili jengo ni zuri sana angalia airport nyingi Hata hapa kenya tu majengo yao ni mabaya sana.
Kwa nilivyomsikia mkuu wa mkoa mpaka kukamilika litatumia 22B ikiwa ni pamoja na vifaa
Ujenzi wa terminal 2 tunaweza pigwa kwa sababu zifuatazo.
Kipindi cha Jpm walisema litajengwa jengo kubwa la size ya terminal 2 ya dar.
Je 32B utaweza jengo kama la terminal 2 ya dar? Hili tunalolikandya linatumia 22B je tofauti ya 10B itatupa kitu kizuri kweli.
Nina wasiwasi wamescale down ukubwa wa jengo kama kweli bajeti ni 32B.
Au hiyo ni bajeti ya jengo bila vifaa?
Naunga mkono hoja yako ..kinacholeta mkanganyiko hapa ,ni kupata kile ambacho hatukutarajia....jengo lenyewe ni zuri lakini sio lile tulilotegemea,,,,,.. Kilimanjaro terminal na Zanzibar terminal wana majengo ya kawaida tu lakin Yana standard.ila jengo letu hili ni zuri lakin halina standard za viwanja vya ndege vya kimataifa hyo ndo hoja yenyew ...kinachotakiwa tukubali the first mistake,,then second attempt ije na kitu classic na standard kama viwanja vingine vya kimataifa..Napenda kutofautiana na wengine.
Hili jengo ni zuri sana angalia airport nyingi Hata hapa kenya tu majengo yao ni mabaya sana.
Kwa nilivyomsikia mkuu wa mkoa mpaka kukamilika litatumia 22B ikiwa ni pamoja na vifaa
Ujenzi wa terminal 2 tunaweza pigwa kwa sababu zifuatazo.
Kipindi cha Jpm walisema litajengwa jengo kubwa la size ya terminal 2 ya dar.
Je 32B utaweza jengo kama la terminal 2 ya dar? Hili tunalolikandya linatumia 22B je tofauti ya 10B itatupa kitu kizuri kweli.
Nina wasiwasi wamescale down ukubwa wa jengo kama kweli bajeti ni 32B.
Au hiyo ni bajeti ya jengo bila vifaa?
Naunga mkono hoja yako ..kinacholeta mkanganyiko hapa ,ni kupata kile ambacho hatukutarajia....jengo lenyewe ni zuri lakini sio lile tulilotegemea,,,,,.. Kilimanjaro terminal na Zanzibar terminal wana majengo ya kawaida tu lakin Yana standard.ila jengo letu hili ni zuri lakin halina standard za viwanja vya ndege vya kimataifa hyo ndo hoja yenyew ...kinachotakiwa tukubali the first mistake,,then second attempt ije na kitu classic na standard kama viwanja vingine vya kimataifa..
32 bilioni inatosha kujenga jengo zuri na standard kama tu hakutakuwa na upigaji ndani yake .chukulia mfano majengo yote ya pale nyamhongolo stendi yamejengwa Kwa bilioni 26 ..ebu assume Kwa jengo Moja likawekewa billion 32 naamini litakuwa Bomba tu

billion 26 ..plus upigaji ndani yak ila wadau stand ya nyegezi ni 15.9 ila ni nzur ukiingia ndan had raha ilemela waliwapa kandaras kampun ya china kwa hyo hela bilion 26 wangempa mohamed builder wangejengewa bonge Moja la stand
Hivi walituonaje sisi watu wa mwanza adi mkuu wa mkoa aliyekuwepo kukubali hii design na ufisadi mkubwa uliotukuka kwenye hilo jengoHamna serikali inaweza kubali kufanya hicho kitu as long as tumeruhusu siasa kuingizwa kwenye mambo nyeti kama haya tutasubiri sana kuwa na terminal ya kisasa hapo sato city
Hyo bilioni 26 ni pamoja na stendi ya malori ..ila thamani ya stendi ya mabus ilemela na yenyew ni bilioni kama 16ila wadau stand ya nyegezi ni 15.9 ila ni nzur ukiingia ndan had raha ilemela waliwapa kandaras kampun ya china kwa hyo hela bilion 26 wangempa mohamed builder wangejengewa bonge Moja la stand
Hilo jengo limejengwa Kwa ushaur wa magufuli...Tena pale akiwa bugando anazindua kiwanda Cha damu ...wakurugenzi waliomba ujenzi wa jengo la abiria..magu akaagiza ujenzi uanze haraka Kwa fedha za force account wajengee hata Kwa nguzo za vyuma ,wafunike na vioo..kama magu alivyosema na wao wakafanya hvyo .Hivi walituonaje sisi watu wa mwanza adi mkuu wa mkoa aliyekuwepo kukubali hii design na ufisadi mkubwa uliotukuka kwenye hilo jengo