Hivi hawa halmashauri ilikuwaje wakakubali kupokea hii stendi? Picha ya mchoro inaonesha kuna stendi ya daladala ikiwa paved na lami pote lakini wanakuja kukabidhi stendi ya vumbi tupo hapo nje na mvua zinakuja itakuwa ni stendi ya tope, japo majengo yapo so hot lakin mazingira ni ovyo sana, pia njia ya kuingia na kutokea ni moja, hii stendi naipa star rate ya 2.5 kwa kweli ni ovyo sana. Stendi ya nyegezi naipa star rate ya 4.5 ni nzuri kila idara jiji la mwanza wapo vizuri na wapo makini kwenye ufatiliaji
