Mwanza City: The Photo Gallery

Yule jamaa kawahi sana lufa
 
Jiji la mwanza upande wa miundombinu ya barabara tunahitaji barabara zifuatazo kwa unataka
1.upanuzi wa njia nne kutoka mjini had usagara
2.upanuzi wa njia nne kutoka mjini had nyanguge
3.barabara ya airport had nyanguge na kisesa
4.mkuyuni to nyakato
 
Jiji la mwanza upande wa miundombinu ya barabara tunahitaji barabara zifuatazo kwa unataka
1.upanuzi wa njia nne kutoka mjini had usagara
Hivi ukitaka kufika Usagara, kuna barabara ya moja kwa moja kutokea Mwanza CBD kupitia Buhongwa kwenda huko au mpaka uende Buzuruga, Igoma, Kisesa, then ukamate Kisesa bypass to Usagara???
 
Nyamhongolo hakuna sehemu ya jengo la abiria kwa ndan ila nyegez zipo 2 na mabenki kibao kama 6 na stand ya nyegezi ina maduka mengi sana na supermarket za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…