Nilikuwa hapo mwezi wa tatu ,watu walikuwa wanagombania maeneo kinoma..
Kuna eneo liko open pale mahina relini lilitengwa Kwa ajili ya viwanda ,..Ile mitaa ilikuwa stagnant kweli ila now Pako hot sana ...
Kuna kiwanda na work shop kubwa ya kampuni la madini la sandvick .pamependeza sana