Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Hizo nyumba nyingi zinapoonekana mbele ya daraja la mwasonge ni nyakagwe
 
Attachments

  • IMG_20220918_135328_394.jpg
    IMG_20220918_135328_394.jpg
    401.9 KB · Views: 16
Kwa mawazo yangu frame kila eneo ni uchafu, kila kitu kinatakiwa kuwa na kiasi.
Hata pale mjini kati kunatakiwa baadhi ya mitaa isiwe na mengi.

Halafu halmashauri zingekuwa zinaingiza mapato.
Unazuia ujenzi wa frame hovyohovyo unajenga shopping centers za kisasa
 
View attachment 2360507ila nyamagana wezi sana, walichukua maeneo mengi muhimu na bado wakang'ang'ania rockcity mall.
Hospitali zote kubwa walibeba.
CBD yote ya mwanza walibeba.
Viwanda vya nyakato wakabeba.
Hoteli zote kubwa Ukiacha malaika walibeba.

Ilemela walifaidika na vitu viwili tu. Soko la mwaloni na stendi ya buzuruga, labda na airport.

Kwa nionavyo mimi kata yote ya Isamilo ilitakiwa iwe Ilemela.

Halafu kwa nini watumie Jina la Mwanza city Council badala ya Nyamagana city Council?
Siku Ilemela ikipata City status itakuwaje?

Mfano huwa wakisema halmashauri ya Dodoma imeizidi halmashauri ya jiji la Mwanza kimapato, watu wengi huwa hawajui hapa inaongelewa nyamagana pekee bila kujumuisha ilemela.
Lakini Ukisema dodoma imeizidi nyamagana ni rahisi kuelewa
Nadhan kuita mwanza city council wako sawa tu Kwa sababu,,haikubaliki kuita nyamagana city council Kwa sababu nyamagana pekee haijakidhi vigezo vya kuwa jiji ....na wakiita nyamagana municipal council kutakuwa hamna jiji la mwanza..in short kwenye list ya majiji mwanza haitakuwa includede
 
View attachment 2360507ila nyamagana wezi sana, walichukua maeneo mengi muhimu na bado wakang'ang'ania rockcity mall.
Hospitali zote kubwa walibeba.
CBD yote ya mwanza walibeba.
Viwanda vya nyakato wakabeba.
Hoteli zote kubwa Ukiacha malaika walibeba.

Ilemela walifaidika na vitu viwili tu. Soko la mwaloni na stendi ya buzuruga, labda na airport.

Kwa nionavyo mimi kata yote ya Isamilo ilitakiwa iwe Ilemela.

Halafu kwa nini watumie Jina la Mwanza city Council badala ya Nyamagana city Council?
Siku Ilemela ikipata City status itakuwaje?

Mfano huwa wakisema halmashauri ya Dodoma imeizidi halmashauri ya jiji la Mwanza kimapato, watu wengi huwa hawajui hapa inaongelewa nyamagana pekee bila kujumuisha ilemela.
Lakini Ukisema dodoma imeizidi nyamagana ni rahisi kuelewa
Historia ya ilemela,ilianzia pale ilikuwa ni wilaya ya mwanza vijijini miaka ya 90 ,,,Hadi ilipofika miaka ya 2000 iliitwa ilemela lakini waliendelea kushare halmashauri mpaka mwaka 2012 ..rock city mall ilikuwa ni project iliyokuwa chini ya mwanza city council, baada ya kukamilika walikubaliana iende ilemela manispaa...
Nyamagana Ina vyanzo vingi vya mapato lakini Kuna upigaji wa hela balaa ..pia vyanzo vyake vilikuwa limited,...
 
Butimba eneo limeshikwa na JWTZ, yaani eneo kama la Butimba ziwani kuwa potential vile likae wazi tu??? 😛
Butimba, nyegezi, maeneo yameshikwa na jeshi ,magereza,na taasisi kama chuo Cha sauti na Tafiri ..na chuo Cha ualimu .

Maeneo yaliyo wazi nyamagana ni milimani huku ibanda ,,pasua kuelekea lwanima, kishiri mwishoni huku na ipuli japo sa hv ipuli kunaelekea kujaa
 
Ukifika kisesa unajiuliza sasa huu mji unakuwaje upo magu kwanza population iliyopo pale ni balaa
kisesa inatakiwa ibaki magu huko huko .na acha ikue ili baadae iwe manispaa ...
Ni vigumu kuhamisha eneo kwenda halmashauri nyingine Kwa sababu kisesa ni kiini kikubwa Cha mapato ya magu ,piga ua madiwani wa magu hawawezi kukubali ..
Vilevile Usagara Kwa misungwi
 
Mbon walishakubal tayar na n jina lilikua linajadaliwa iitweje ilibak rais tu kutia sain kua wilaya kipind cha maguful angekuepo ingeshkua wilya kwa mama samia ndo mpka awaze au itakua kimkakakat kam seem ya kupat kura
 
Nilikuwa nasemea kisesa,ipewa wilaya za jirani kama ilemela au nyamagana ..ndo Kuna ugumu ..ila kuimega iwe wilaya lenyewe linakubalika
 
kisesa inatakiwa ibaki magu huko huko .na acha ikue ili baadae iwe manispaa ...
Ni vigumu kuhamisha eneo kwenda halmashauri nyingine Kwa sababu kisesa ni kiini kikubwa Cha mapato ya magu ,piga ua madiwani wa magu hawawezi kukubali ..
Vilevile Usagara Kwa misungwi
Mbon walishakubal tayar na n jina lilikua linajadaliwa iitweje ilibak rais tu kutia sain kua wilaya kipind cha maguful angekuepo ingeshkua wilya kwa mama samia ndo mpka awaze au itakua kimkakakat kam seem ya kupat kura
Master plan mpya ya Jiji LA Mwanza 2035 imeziweka Kisesa, Fela na Usagara kama sehemu ya Jiji.

Kwahiyo sioni kama Kisesa na Usagara zitaendelea kuwa huko zilizo mbeleni.
 
Hizi master plan ,,,,naona zimekaa kisiasa ..3035 sio mbali lakini mpaka sasa hamna implementation plan iliyopo ...
Huwezi kuwa na jiji lililoendelea bila kuwa ni mikakati ya kuvutia wawekezaji..
Kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira yanayovutia wawekezaji.
Miji kama Dubai ,hongkong,imeendelea Kwa sababu ya wawekezaji.
Sisi kwetu halmashauri inajipa majukumu mazito ambayo baadae yanagekua kuwa liability Kwa sababu ya management za serikalini zinakuwa unserious na corrupt in nature..
Ishu za shopping mall, commercial complex, housing estates,wapewe investors...Mimi inanishangaza sana ilemela kusubiri fedha za tactics ili wajengee commercial complex buzuruga.wakati Kuna investor ambaye mpaka Leo ana mgogoro wa ardhi pale nyakato,alikuwa anataka ajenge shopping mall ...kwanini wasimpe hyo mwekezaji hapo buzuruga na wao wakapata levies ..
. master plan mpaka sasa hamna utaratibu maalumu wa ujenzi,watu wanajijengea tu ..
Walikuja wawekezaji wa brazili hapa mwanza watu waliongea na kupiga kelele kama wajinga na serikali ikaamua kufata siasa ili mambo yatulie. .
Watanzania tuko ignorant na brainwashed kwenye issues ya wawekezaji.ila ukweli hatuwezi kufika mbali bila kuruhusu investment ichukue nafasi .
 
Hakika kabisa
 
Ndio hapo utashangaa ilemela unasubir tactics
 
Back
Top Bottom