Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Hilo daraja ni zaidi ya kuunganisha Mwanza Jiji na Sengerema au Mwanza Mkoa na Geita. Ndio maana Ilemela wamejiwahi parking lot ya magari ya mizigo hata Nyamagana nasikia wanajenga yao Buhongwa
Kwahiyo hilo daraja likikamilika kutakuwa hakuna sababu ya kivuko.

Halafu hilo daraja ninavyojua litaunganisha Geita, Bukoba road.

Hayo magari ya mizigo yatakuwa ni yale yanayobeba mizigo Mwanza ??
 
Kwahiyo hilo daraja likikamilika kutakuwa hakuna sababu ya kivuko.

Halafu hilo daraja ninavyojua litaunganisha Geita, Bukoba road.

Hayo magari ya mizigo yatakuwa ni yale yanayobeba mizigo Mwanza ??
Kama Tunduma, Horiri au Mutukula, ni semi trailers. Yaani dual carriage inaweza kuwa extended mpaka Nyanguge
 
Kwahiyo hilo daraja likikamilika kutakuwa hakuna sababu ya kivuko.

Halafu hilo daraja ninavyojua litaunganisha Geita, Bukoba road.

Hayo magari ya mizigo yatakuwa ni yale yanayobeba mizigo Mwanza ??
Vivuko labda TAMESA wahamie chocho la Kamanga tu, napo najua demand itaongezeka tu.
 
Butimba kwa mbele uko na nyegezi

Hayo maeneo utayaona ukisimama kwenye mlima wa afya radio

Kwa nyegezi ukisimama kwenye mlima wa wazimu kuna maeneo mengine siyafaham maeneo bado yapo tutafuten pesa
Butimba eneo limeshikwa na JWTZ, yaani eneo kama la Butimba ziwani kuwa potential vile likae wazi tu??? 😛 😛 😛 😛
 
Butimba kwa mbele uko na nyegezi

Hayo maeneo utayaona ukisimama kwenye mlima wa afya radio

Kwa nyegezi ukisimama kwenye mlima wa wazimu kuna maeneo mengine siyafaham maeneo bado yapo tutafuten pesa
Inawezejanaje maeneo yawepo lakini watu wakajae Igekemaja huko, Ilalila na usagara?
 
Daraja la mwasonge linalotenganisha wilaya ya nyamagana na misungwi
 
Attachments

  • IMG_20220918_132017_076.jpg
    IMG_20220918_132017_076.jpg
    457.8 KB · Views: 18
Na bado naona sheli nyingi kipande cha Usagara-Kisesa na Buhongwa - Igoma kuna sheli zitafunguliwa nyingi tu
Kwa sababu pipe za bandarini wanajichotea tu siku hizi hakuna wa kufanya ziara za kushtukiza tena
Shamba limerudi kwa wenyewe
 
Mwasonge nilienda 2020 centre yake ilikuwa vijijin na maduka ya udongo leo nimeenda naona kuna majengo mengi ya biashara mfano ili jengo Lina frame za maduka 20 na zote zimejaa
 
Attachments

  • IMG_20220918_134021_028.jpg
    IMG_20220918_134021_028.jpg
    748.6 KB · Views: 15
Back
Top Bottom