MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,913
- 9,012
Buzuruga Bus terminal in nani alikuwa anamiliki kati ya Ilemela na Nyamagana?Sema Buzuruga eneo lipo mpakani bro, Ilitakiwa Pasiansi, Buswelu, Ghana au hata Kiloleli
Buzuruga Bus terminal in nani alikuwa anamiliki kati ya Ilemela na Nyamagana?Sema Buzuruga eneo lipo mpakani bro, Ilitakiwa Pasiansi, Buswelu, Ghana au hata Kiloleli
Huo upande wa stand ni Ilemela, ule upnde wa pili wa barabara ni NyamgaBuzuruga Bus terminal in nani alikuwa anamiliki kati ya Ilemela na Nyamagana?
Pasiansi,
Buswelu,
YesGhana au hata Kiloleli
Yes, Pasiansi milima kweli kikwazoPasiansi milima mingi, halafu hakuna barabara ya moja kwa moja kutoka maeneo mengine.
Labda hiyo ya Buzuruga-Nyasaka-Kiloleli?
Yawezekana
Yes
Ni Ubungo Ijayo 😛 😛 😛 😛
Inaonekana watu wengi wanaipenda Kisesa kwasababu wanasema ni rahisi sana kufika mjini.Sensa ya mwaka 2012 ilikuwa na watu 35000 sasa cjui mafuriko ya 2022 manake kisesa watu wameanza kupashambulia 2015 had sasa
Inaonekana watu wengi wanaipenda Kisesa kwasababu wanasema ni rahisi sana kufika mjini.
Kwahiyo Kisesa na Buhongwa yawezekana zinakimbizana kwenye population?Ukifika kisesa unajiuliza sasa huu mji unakuwaje upo magu kwanza population iliyopo pale ni balaa
Yap ila buhongwa 😄😄😄 ina watu balaa kwanza ina mitaa 18 buhongwa kwa coaster za mjin ndo root ambayo ipo active had saa 6 uck usafir unapataKwahiyo Kisesa na Buhongwa yawezekana zinakimbizana kwenye population?
Nyamagana bado inaeneo kubwa sana bado mapori hivyo hivyo kwa ilemelaNyamagana imebaki Lwahnima, Sahwa na Kishiri huko.
Nyamagana maeneo ambayo bado ni pori ni wapi?Nyamagana bado inaeneo kubwa sana bado mapori hivyo hivyo kwa ilemela
Nyamagana imejaa labda lwanhima kishiri yenyewe mda si mrefu itajaaKwahiyo Kisesa na Buhongwa yawezekana zinakimbizana kwenye population?
Hats Ilemela yenyewe nadhani imebaki Ilalila, Masemele, na Kayenze.Sema CBD ya
Nyamagana imejaa labda lwanhima kishiri yenyewe mda si mrefu itajaa
Hivi hili daraja linaunganisha wapi na wapi na lengo lake kubwa ni nini?View attachment 2360538
Huu mzigo ukikamilika, inflow na outflow ya magari/ watu kuelekea Magharibi itaongezeka sana Mwanza, Northern corridor ya East Africa inaweza hamia Sirali -Mwanza RD
Kuna wenzetu, Congo/ Rwanda huwa wanapitishia mizigo yao baadhi bandari ya Mombasa, Sasa bbadhi ya Transit huwa zinapitia Kampala ambayo ni njia ndefu ukilinganisha na hii Mwanza, Sirali. Naamini daraja likikamilika kuna baadhi ya mizigo ya Rwanda/ DRC ibabadilisha root Kutoka Mombasa-Kampala to Mombasa - MwanzaHivi hili daraja linaunganisha wapi na wapi na lengo lake kubwa ni nini?
Hilo daraja ni zaidi ya kuunganisha Mwanza Jiji na Sengerema au Mwanza Mkoa na Geita. Ndio maana Ilemela wamejiwahi parking lot ya magari ya mizigo hata Nyamagana nasikia wanajenga yao BuhongwaKuna wenzetu, Congo/ Rwanda huwa wanapitishia mizigo yao baadhi bandari ya Mombasa, Sasa bbadhi ya Transit huwa zinapitia Kampala ambayo ni njia ndefu ukilinganisha na hii Mwanza, Sirali. Naamini daraja likikamilika kuna baadhi ya mizigo ya Rwanda/ DRC ibabadilisha root Kutoka Mombasa-Kampala to Mombasa - Mwanza