NJIGO BOY
Member
- Dec 13, 2017
- 44
- 89
Nera ni Nyamagana broMbona Nera kuna Jengo la 10f au Nera sio Ilemela
Nera ni Nyamagana broMbona Nera kuna Jengo la 10f au Nera sio Ilemela
Upande wa ufukwe ni nyamagana mpka hapo karibu na mwaloni na ilemela inaanzia hapo mwaloni hapoNera upande mmoja wa barabara ni Nyamga, na upande wa pili wa Barabara wenye fukwe ni Ilemela, Hivyo kuanzia mto Mirongo upande wa fukwe ni Ilemela zikitenganishwa na Nyamagana kwa Barabara ya Makongoro mpaka ni Shule ya Msingi Mwenge (Ilemela) na Kanisa la KKKT (Nyamagana) kuelekea milimani kurudi Isamilo ndio Nyamagana
Yeah .Kwa sababu hata city council wana eneo lao la kujenga park paleUpande wa ufukwe ni nyamagana mpka hapo karibu na mwaloni na ilemela inaanzia hapo mwaloni hapo
Kwa mujibu wa mtandao wa citypopulation.de Ilemela inachukukua karibia 90% ya fukwe ya NeraYeah .Kwa sababu hata city council wana eneo lao la kujenga park pale
Maeneo hot ilemela ambako unaweza kupata majengo makubwaView attachment 2359448
Hili jengo naona Wamefika floor ya saba au naona vibaya?
Kwa juu kama kuna matoleo ya floor ya nane.
Ko hizo 10 percent ndo za kujenga Tampere parkKwa mujibu wa mtandao wa citypopulation.de Ilemela inachukukua karibia 90% ya fukwe ya Nera
View attachment 2360284
View attachment 2360283
Ilemela Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location
Ilemela Municipal (Municipality, Tanzania) with population statistics, charts, map and location.citypopulation.de
Kwa Mimi navyoelewa fukwe za pembezoni mwa mto mirongo ,ni nyamagana,eneo la Tampere,,clinic Hadi pale junction ya mwaloni , ilemela ndo inaanzia hapo ..Kwa mujibu wa mtandao wa citypopulation.de Ilemela inachukukua karibia 90% ya fukwe ya Nera
View attachment 2360284
View attachment 2360283
Ilemela Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location
Ilemela Municipal (Municipality, Tanzania) with population statistics, charts, map and location.citypopulation.de
Sasa hv kuna lwanhima sahwa ya chini na juu kuna nyumba za kiwango cha juu af zipo utitiri sana ujenzi wa hyo barabara utakuwa mzur sana pale sahwa ya chini kwny mrad wa maji wanajenga ofisi kubwa za idara ya majiMaeneo hot ilemela ambako unaweza kupata majengo makubwa
*Ghana kirumba
*Buzuruga
*Pasiansi
*ilemela
*…............?
Maeneo hot nyamagana (exclude CBD)
*nyegezi
*buhongwa
*Sehemu ya nyakato
Ukweli ni kwamba, nyamagana inabebwa sana na eneo kuanzia nyegezi Hadi buhongwa..wakati ilemela wanajiimarisha sana maeneo ya nje ya CBD kuvutia wawekezaji..japokuwa Kwa maisha nafuu wilaya ya nyamagana Iko Bomba ..kama unataka kuanza maisha mwanza tafuta chumba maeneo ya wilaya ya nyamagana
Tena nyegezi sasaKwa Mimi navyoelewa fukwe za pembezoni mwa mto mirongo ,ni nyamagana,eneo la Tampere,,clinic Hadi pale junction ya mwaloni , ilemela ndo inaanzia hapo ..
Mgawanyo wa wilaya ya nyamagana na ilemela unashida kubwa sana eneo la nyakato pale ..,,kuanzia buzuruga pale upande wa buzuruga plaza ni nyamagana, njoo pale TIA, nyakato sokoni,national,zimegawanywa na road ,,ukifika pale mwatex, viwanda vyote nyamagana Hadi igoma.... nyamhongolo pekee ndo Iko absolute ilemela.ila hii mitaa mingine kuanzia Sinai Hadi igoma hapaeleweki
Maeneo hot ilemela ambako unaweza kupata majengo makubwa
*Ghana kirumba
*Buzuruga
*Pasiansi
*ilemela
*…............?
Maeneo hot nyamagana (exclude CBD)
*nyegezi
*buhongwa
*Sehemu ya nyakato
Ukweli ni kwamba, nyamagana inabebwa sana na eneo kuanzia nyegezi Hadi buhongwa..wakati ilemela wanajiimarisha sana maeneo ya nje ya CBD kuvutia wawekezaji..japokuwa Kwa maisha nafuu wilaya ya nyamagana Iko Bomba ..kama unataka kuanza maisha mwanza tafuta chumba maeneo ya wilaya ya nyamagana
Huu mrad wa tempere upo kwny makaratasi aiseeKo hizo 10 percent ndo za kujenga Tampere park
Ramani ya Ilemela ni hiiKwa Mimi navyoelewa fukwe za pembezoni mwa mto mirongo ,ni nyamagana,eneo la Tampere,,clinic Hadi pale junction ya mwaloni , ilemela ndo inaanzia hapo ..
Mgawanyo wa wilaya ya nyamagana na ilemela unashida kubwa sana eneo la nyakato pale ..,,kuanzia buzuruga pale upande wa buzuruga plaza ni nyamagana, njoo pale TIA, nyakato sokoni,national,zimegawanywa na road ,,ukifika pale mwatex, viwanda vyote nyamagana Hadi igoma.... nyamhongolo pekee ndo Iko absolute ilemela.ila hii mitaa mingine kuanzia Sinai Hadi igoma hapaeleweki
Hii umetumia map ganKwa Igoma Pande zote mbili za barabara kuu (Musoma Road) ni Nyamagana, the same to Nyamhongolo pande zote mbili za barabara ni Ilemela, Ndio maana huwa wanasema Maonyesho ya Nane Mwanza yanafanyika Nane nane Ilemela
Igoma-Nyamhongolo
View attachment 2360454
Hii umetumia map gan
Ila kwenye eneo Ilemela walimegewa aisee, Nyamagana, ni kama imejaa.. Kipindi wanaunda Jiji la Mwanza Ilemela ni kama ilikuwa inaishia sabasaba / Buswelu. Huko kwengine ni Mashamba tu, Karibia 2/3 ya Halmashauri ilikuwa ni Mashamba tu. Hata kata zilikuwa hazizidi 10, ila sasa kwa sasa kuna kata karibia 20View attachment 2360507ila nyamagana wezi sana, walichukua maeneo mengi muhimu na bado wakang'ang'ania rockcity mall.
Hospitali zote kubwa walibeba.
CBD yote ya mwanza walibeba.
Viwanda vya nyakato wakabeba.
Hoteli zote kubwa Ukiacha malaika walibeba.
Ilemela walifaidika na vitu viwili tu. Soko la mwaloni na stendi ya buzuruga, labda na airport.
Kwa nionavyo mimi kata yote ya Isamilo ilitakiwa iwe Ilemela.
Halafu kwa nini watumie Jina la Mwanza city Council badala ya Nyamagana city Council?
Siku Ilemela ikipata City status itakuwaje?
Mfano huwa wakisema halmashauri ya Dodoma imeizidi halmashauri ya jiji la Mwanza kimapato, watu wengi huwa hawajui hapa inaongelewa nyamagana pekee bila kujumuisha ilemela.
Lakini Ukisema dodoma imeizidi nyamagana ni rahisi kuelewa
Ndani ya miaka 10 ijayo, Nyamagana wanaweza kupigwa bao Kali sana.View attachment 2360507ila nyamagana wezi sana, walichukua maeneo mengi muhimu na bado wakang'ang'ania rockcity mall.
Hospitali zote kubwa walibeba.
CBD yote ya mwanza walibeba.
Viwanda vya nyakato wakabeba.
Hoteli zote kubwa Ukiacha malaika walibeba.
Ilemela walifaidika na vitu viwili tu. Soko la mwaloni na stendi ya buzuruga, labda na airport.
Kwa nionavyo mimi kata yote ya Isamilo ilitakiwa iwe Ilemela.
Halafu kwa nini watumie Jina la Mwanza city Council badala ya Nyamagana city Council?
Siku Ilemela ikipata City status itakuwaje?
Mfano huwa wakisema halmashauri ya Dodoma imeizidi halmashauri ya jiji la Mwanza kimapato, watu wengi huwa hawajui hapa inaongelewa nyamagana pekee bila kujumuisha ilemela.
Lakini Ukisema dodoma imeizidi nyamagana ni rahisi kuelewa
Nyamagana imebaki Lwahnima, Sahwa na Kishiri huko.Ila kwenye eneo Ilemela walimegewa aisee, Nyamagana, ni kama imejaa.. Kipindi wanaunda Jiji la Mwanza Ilemela ni kama ilikuwa inaishia sabasaba / Buswelu. Huko kwengine ni Mashamba tu, Karibia 2/3 ya Halmashauri ilikuwa ni Mashamba tu. Hata kata zilikuwa hazizidi 10, ila sasa kwa sasa kuna kata karibia 20
Sema Buzuruga eneo lipo mpakani bro, Ilitakiwa Pasiansi, Buswelu, Ghana au hata KiloleliNdani ya miaka 10 ijayo, Nyamagana wanweza kuoigwa bao Kali sana.
Ilemela wamekaa kimkakati sana.
Baada ya Nyamhongolo, kama eneo LA Buzuruga wakiliwekea mkakati mzuri, mambo yatakuwa fire sana.