Kaka acha kuchanganya, soko la kirumba litajengwa jengo kubwa sio mabati kama ninavyoona kwenye picha zako ni ujenzi mkubwa utachukua mwaka na zaidiNdani ya mwezi soko litakuwa limeisha na watu kuhamia
Hilo jengo vioo vya blue ni jipya?๐ค
Maybe anamaanisha soko la MagomeniKaka acha kuchanganya, soko la kirumba litajengwa jengo kubwa sio mabati kama ninavyoona kwenye picha zako ni ujenzi mkubwa utachukua mwaka na zaidi
Kuna MTU anauza viwanja Busenga, kama unaweza nikuunganishe ukavione.
Ni vikubwa sana na anauza 8.5M na no ziadi ya 1,500 sqm. Vipo Ukifika Buswelu wilayani unatembea ki
Soko la kirumba ni jengo refu mkuu na ni project ya kimkakati kwenye miradi ya TACTICS.Ujenzi wa soko jipya la kisasa kirumba umeshika Kasi sana baada ya soko la mda la magomeni kuelekea ukingoni kuisha kwa tathmini niliyoifanya frame za maduka kuzunguka soko zipo 120 nusu zimeisha na nusu zipo kwny hatua za lenta baadh ya watu wameanza kufanya biashara kwny frame zao zikiwemo butcher 5
Hapo in Buswelu wilayani?City Link iyo Buswelu...
Unaweza kuscan hiyo QR Code kwenda kwenye ukurasa wao wa Instagram...View attachment 2354703View attachment 2354702
Ndio litazid soko la ndugaiSoko la kirumba ni jengo refu mkuu na ni project ya kimkakati kwenye miradi ya TACTICS.
NdioHapo in Buswelu wilayani?
Jamaa angu una intelligeciaKuna mtu nimemuona stationary hapo za mtaa wa rufiji anatoa copy na vibali pamoja na mchoro wa kujenga commercial building ghorofa 11



Kuna mzigo unashushwa chini yake ninomaPia hapo eneo la Kilanyasi na hapo opposite green view pub wasimamishe mizigo kama huo patapendeza sana
Picha tafadhariKuna mzigo unashushwa chini yake ninoma