AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,408
- 6,269
Iko maeneo yapiWeeked vibes mwanza beach
Iko maeneo yapiWeeked vibes mwanza beach
Mbele ya kisesa karibu na nyanguge ELLYS beachIko maeneo yapi
Hiz fukwe GaniWeeked vibes mwanza beach
Hapa ni wap
Rahel hotel ibandaHapa ni wap
Kisesa karib na nyanguge panaitwa ELLYSHiz fukwe Gani
Sio Rahel ni LaheRahel hotel ibanda
Ooh Nyagunge kwa mahitaji wake Ellyfam beach, hiyo beach ni mpya kabisa na hapo bado haijakamilika 100%...Kisesa karib na nyanguge panaitwa ELLYS
Nyanguge sasa hv ni centre kubwa mnoo kuna filling station Zaid ya 6 sasa hv watu wanajenga balaa lakin cjui kwann kusiwe na usafir wa coaster wa mwanza to nyangugeOoh Nyagunge kwa mahitaji wake Ellyfam beach, hiyo beach ni mpya kabisa na hapo bado haijakamilika 100%...
Ko sa hv tunazungumzia nyanguge na sio tena kisesa. Ko baada ya miaka 30 tuko magu sasa auNyanguge sasa hv ni centre kubwa mnoo kuna filling station Zaid ya 6 sasa hv watu wanajenga balaa lakin cjui kwann kusiwe na usafir wa coaster wa mwanza to nyanguge