intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
Hili litafika 10 nahisiKwa hayo matoleo ya nondo huko juu, ghorofa ya 7 confirmed 😛
Hili litafika 10 nahisiKwa hayo matoleo ya nondo huko juu, ghorofa ya 7 confirmed 😛
Nilipita Tena maeneo hayo nitauliziaNdio mkuu kwan wanajenga floor ngp jamaa wapo kasi sana mwez wa nne walikuwa msingi
Pale nyamhongolo stand upande wa kulia kama unaenda kisesa kuna mjinga kajenga frame nyingi kama 80


niliziona wakati kapiga msingi ilikua mwezi wa nne...Dodoma waendelee kujengewa na nhc😄😄niliziona wakati kapiga msingi ilikua mwezi wa nne...
Uwe unapiga picha si una simu kaka, piga pia kibao chenye maelezo ya ujenzi, sisi wachukunuzi huwa inatusaidia kupata Taarifa zaidi😂Hv Sasa hv nipo hapa maeneo ya ghana kuna gorofa naona linajengwa sasa hv naona wapo floor ya sita nahisi hilo jengo watajenga floor 10
Natafuta kiwanja kahama bossKahama sahv pameshakuwa centre kubwa sana vile vijumba vya ovyo vilivyopo barabaran vyote vimevunjwa watu wanajenga frame za maduka kama utitiri
OK, broNitakuja na projects mpya tu, Ile issue ya drone nilikwama ila Bado naifanyia kazi
samanene iko wapi?
Bajeti yako ni kiasi gani?Natafuta kiwanja kahama boss
Luchelelesamanene iko wapi?
inavyoonekana NDANI ya miaka 5 Ilemela itaanza kuipundua Nyamagana?Luchelele ni pazuri sana sijui kwann huwa watu hawajengi sana viwanja vingi vipo open
yan nyamagana ukiachana city centre sehemu ambazo ni pazuri ni buhongwa,mkolani,nyegezi,lwanhma,mahina na mhandu zingine ni ovyo sana ila ilemela mitaa mingi ni mizur sana aisee mfano nyamhongolo,kiseke,nyasaka,kirumba,mecco,kangae,buswelu,kahama,ilemela sehemu ambazo ndani ya miaka 5 zitakuja vzur sana igombe,sangabuye,kayenze,ilalila na shibulainavyoonekana NDANI ya miaka 5 Ilemela itaanza kuipundua Nyamagana?
Picha tafadhariiJana nimepita barabara ya sabasaba buswelu huko kuna projects za kufa mtu aisee