Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Mbezi Luis ni kubwa ..ila dodoma nakubaliStand zote mbezi luis,ya dodoma nyamhongolo zote zinaparking 120
Mbezi Luis ni kubwa ..ila dodoma nakubaliStand zote mbezi luis,ya dodoma nyamhongolo zote zinaparking 120
Stendi ya buzuruga haijawahi kujaa, imehamishwa kupunguza vurugu za magari buzuruga.

vijana wa batco mm nimekuanao hapo kona ya bwiru nikiwa mwanza hua naenda kupiga sana story hapo buzuruga Nchi za wenzetu stendi zao ndogo kuliko zetu, gari inakuja stendi dk 10 au 15 kabla ya safari watu wanaingia I naondoka. Sisi gari linakaa masaa 2 au zaidi linapiga debe hayo ni matumizi mabaya ya space.vijana wa batco mm nimekuanao hapo kona ya bwiru nikiwa mwanza hua naenda kupiga sana story hapo buzuruga
80% ya gari za vijijini zilikua hazina matuta ya kubebea abiria
Mfano ni kisire ya kahama,tungis ya tabora,isamilo ya dodoma
Kunakipindi hadi gari zilikua zinashare tuta mfano gari za bariad,bunda,shirati na nyamongoView attachment 2353961
Kwa mimi naona idadi hiyo inatosha sana sababu magari hutumia stand kwa ajili ya kubeba abiria na kuondoka kwahiyo magari hutumia mda mchache stand mda mwingi yanakua kwenye safari, kwanza stand ikiwa ya wastani inapendeza sana huwezi kuona kama inapwaya mfano mzuri angalia ile stand ya Dodoma wamejenga kubwa lakini ukifika pale mchana hukuti magari kwahiyo unakuta stand mda mwingi imepooza tu...Stand ya nyegezi ilipaswa kubeba mabus 500 tofaut na hii ya nyamhongoro
Kwa sasa ruti ya mwanza-sirari limebaki gap moja tu la usiku kwanzia saa moja na gari ipo George Town
Pia ruti ya mwanza-msoma imejaa kabisa
Ruti zilizobaki ni vijijini tu
Ila stand ya nyegezi inahudumia mikoa 10+ inakuaje ndogo kiasi hicho?
Kwa hali ya kawaida kina huwa akiongezeki chenyewe labda binadam aongeze kina kwa kuchimba na kutoa takataka zinazoingia ziwani ungesema kinakinapungua apo sawa maana maji yakiongezeka lazima yachukue sehemu za fukwe...Hili ziwa mnalionaje? Naona kina kinazidi kuongezeka tu hili ni tatizo aisee....
Concern nzuri sana hiyo mzee nikweli baada ya miaka kadhaa mabasi na tren watagawana abilia kwahiyo ni wazi kabisa mabasi yatapungua...Ngoja nikupe jibu.
1.
Basi zote haziondoki muda mmoja, ikiondoka moja ingine inapata gap ingawa najua hakuna siku hiyo stendi itakuwa imejaa basi hata kama ni asubuhi.
2.
Baada ya miaka 4 basi zitapungua sana hiyo njia, watu wengi watapenda kutumia treni.
Yaani sgr itakuwa imekamilika
Kuna MTU anauza viwanja Busenga, kama unaweza nikuunganishe ukavione.Isizidi 7m size sqm 700+
Kweli kabisa unakuta gari inalala stand,hawa viongoz wetu hawajui kabisa tofaut ya garage na standNchi za wenzetu stendi zao ndogo kuliko zetu, gari inakuja stendi dk 10 au 15 kabla ya safari watu wanaingia I naondoka. Sisi gari linakaa masaa 2 au zaidi linapiga debe hayo ni matumizi mabaya ya space.
Kwa tamaa zetu za pesa yawezekana huwa wanauza space kwamba mwingine hapaki, huo utakuwa utaratibu mbovu.
Ndio maana nimesema hiyo siyo garage bali ni sehemu ya kushusha na kupakia abiria.
Hiii serikali yetu kwenye usafirishaji sijawahi ikubali kabisaConcern nzuri sana hiyo mzee nikweli baada ya miaka kadhaa mabasi na tren watagawana abilia kwahiyo ni wazi kabisa mabasi yatapungua...
Ndio ujue nchi inaliwaila kipindi cha samia watu wanajenga sana sio mchezo hata ukienda mjn Kati magorofa yanafumuka balaa bado masheli
Kuna mtu nimemuona stationary hapo za mtaa wa rufiji anatoa copy na vibali pamoja na mchoro wa kujenga commercial building ghorofa 11Asee wakuu maeneo ya mitaa ya rufiji na huko milongo ni noma nilichogundua mtu kama hatembei anaeza iona Mwanza ni ya kawaida Sana ila ukiizungukia tu CBD ya hili jiji utaamini Mwanza ni lidude likuuubwa mno
Ile milima ya capripoint nako sio poa viberiti vinamwagwa kwa hasira, ni vile tu simu yangu quality ni mbovu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wacha waumue towersKuna mtu nimemuona stationary hapo za mtaa wa rufiji anatoa copy na vibali pamoja na mchoro wa kujenga commercial building ghorofa 11
Mdukuzi ulikua katika ubora wako...Kuna mtu nimemuona stationary hapo za mtaa wa rufiji anatoa copy na vibali pamoja na mchoro wa kujenga commercial building ghorofa 11