Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Na Usagara jeKisesa hyo tumeshamalizana nayo
Na Usagara jeKisesa hyo tumeshamalizana nayo
Nafkri Latra Mwanza wako vizuri sana nafkri mtakua mashahidi jinsi walivyoifungua na kuiunganisha Mwanza kwa ruti nyingi mpya, nafkri watapaona na kutengeneza ruti mpya...Nyanguge sasa hv ni centre kubwa mnoo kuna filling station Zaid ya 6 sasa hv watu wanajenga balaa lakin cjui kwann kusiwe na usafir wa coaster wa mwanza to nyanguge
Hilo Jina Poa kabisa mimi sioni tatizo, tusipende uzungu ni utumwa fulani, yaani tilapia bus terminal, bismark bus terminal.Mbona naona kama jina gumu sana ... hawawezi kuweka jina jepesi na linalosound au linalotangaza kivutio flani kilichopo mwanza
Mfano TILAPIA Bus terminal, nyanza bus terminal,bujora bus terminal,saanane bus terminal,lake zone bus terminal, Bismarck rock bus terminal,au jina la kiongozi
Mwl Nyerere bus terminal, nkView attachment 2355745
Bado tunatafuta Swags ya kulitumia hilo jina, sio gumu bado kama tulilikubali Bagamoyo mbona Nyamhongolo laini kabisaMbona naona kama jina gumu sana ... hawawezi kuweka jina jepesi na linalosound au linalotangaza kivutio flani kilichopo mwanza
Mfano TILAPIA Bus terminal, nyanza bus terminal,bujora bus terminal,saanane bus terminal,lake zone bus terminal, Bismarck rock bus terminal,au jina la kiongozi
Mwl Nyerere bus terminal, nkView attachment 2355745




Sisemei uzungu...mtu akisema tilapia anakuwa amerefer jina la samaki maarufu anayepatikana ziwa Victoria tu (sato)..Hilo Jina Poa kabisa mimi sioni tatizo, tusipende uzungu ni utumwa fulani, yaani tilapia bus terminal, bismark bus terminal.
Hizi huwa ni swaga hakuna cha utalii, hivi serengeti tukiamua kuiita nyamhongolo national Park watalii hawatakuja sababu Jina limebadilika?Sisemei uzungu...mtu akisema tilapia anakuwa amerefer jina la samaki maarufu anayepatikana ziwa Victoria tu (sato)..
Au Bismarck rock,jiwe maarufu mwanza ko itasaidia kupromote utalii
all in all everything is oky.as long as stand ipo vizuri na inafanya kaziHizi huwa ni swaga hakuna cha utalii, hivi serengeti tukiamua kuiita nyamhongolo national Park watalii hawatakuja sababu Jina limebadilika?
Au mwanza tukiita tilapia city tutapata watalii wengi mwanza?
Bugando wametisha, halafu hawaishiwi miradi sasa hivi Wametangaza tender ya hoteli, bado kuna mradi wa heart institute, kuna siku tutakuja sikia wanajenga apartment au mall
Hapa Bugando au Sekou Toure jengo jipya?View attachment 2356102
Picha ya zamani Nimependa view yake
Ushawahi kuta mchina, muarabu, Mrusi anabadili jina kisa watu wanaliona gumu? Yaleyale ya mandela kupewa jina Nelson kisa mwalimu kaona jina lake gumuMbona naona kama jina gumu sana ... hawawezi kuweka jina jepesi na linalosound au linalotangaza kivutio flani kilichopo mwanza
Mfano TILAPIA Bus terminal, nyanza bus terminal,bujora bus terminal,saanane bus terminal,lake zone bus terminal, Bismarck rock bus terminal,au jina la kiongozi
Mwl Nyerere bus terminal, nkView attachment 2355745
Sekou Toure hiyo jengo jipya!
ilemela wanapoletewaga mirad hawanaga mzaha kabisa juz soko la kirumba watu walikuwa wanahama wanahamia soko la mda magomeniHili soko la kirumba linaonekana litakuwa Bomba sana ...then ilemela wamejipanga kuelekea kuwapiku mapato nyamagana
NnView attachment 2356248View attachment 2356249View attachment 2356251