Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,157
- 6,163
Sidhani kama kina kiaongezeka, ziwa lina kina kifupi sana, yaani uwanja wa mpira goli hadi goli ni parefu. Ziwa lina 82m depth only sema upana ndio beseni au saani. Na kijiografia ndio ziwa ambalo lipo juu ya usawa wa bahari.Hili ziwa mnalionaje? Naona kina kinazidi kuongezeka tu hili ni tatizo aisee....
